Ndo hapo mnapokosea wewe nimekuoa uje ufanye nn kwenye nyumba yangu?
Ukizingatia mm ndo kichwa cha familia gharama zote na gharamia mm pamoja na kukuhifadhi wewe sa nipeleke huku kufanya nn wkt wewe upo upo tu?
Ukiamua kuishi na HG ukamfuma anamlazimisha HG apac hatua gani utaichukua?
zangu, zake anapac yeye.....
bahati mbaya sana cna hgal, na hata ningekuwa nae cwezi kuishi kwa hofu eti kisa hgal atafanya hiki na kile, kutojiamni huko, najiamini sana aisee, siruhusu hofu initalawe, na ananiheshimu pia, angefanya yote lakini kwa hgal hafiki kama ningekuwa nae huyo hgal.
eti? Lord have mercy on u!....unanihifadhi nimekuwa furuushi la mtumba?
Duh kweli :becky::becky: maana utakuwa ndio ndondocha kabisa:becky:
Nyamayao mke wa kimbweka hana tatizo mwenye shida ni kimbweka mwenyewe anaona kutopasiwa nguo ni kosa
Mfano mdogo tu mimi hupiga deki room kwetu, kufuta vumbi, kufua kufuli zetu wawili (PANTS), kupiga pasi, kutandika kitanda
Mhhhhhh, Hapooo!!!!!!!!!!!!
apeleke drycleaner....watu wanapataga wake wa kuwapelekesha kama trekta kweli.
Hahahaha hizi ndoa ngoja tuwaachie wenye nazo mm kwangu lazima shughuli zote za nyumbani ufanye mwanamke
Mjomba angu aliamua kufanya replacement HG akakamata usukani mke wake akapigwa transfer
Ndo hapo mnapokosea wewe nimekuoa uje ufanye nn kwenye nyumba yangu?
Ukizingatia mm ndo kichwa cha familia gharama zote na gharamia mm pamoja na kukuhifadhi wewe sa nipeleke huku kufanya nn wkt wewe upo upo tu?
Mkuu lengo langu kuu la KUOA mke si kupata mtumishi wa kunifulia/kudeki au kufanya chaos za nyumbani, nilioa kwa mapenzi, na ninaishi na mpenzi wangu ambaye ktk mafundisho ya dini yangu yeye ni sehemu ya mwili wangu(UBAVU WANGU) na Biblia imeandikwa ukimchukia mkeo ni sawa na kuuchukia mwili wako au kutoupenda mwili wako mwenyewe, na imeandikwa kabisa hiyo bi siri kubwa sana. Nadhani ndoa yako itakuwa ngumu sana coz unategemea ukioa basi WIFE wako awe km HG, akufanyie kila kitu wewe ukae eti kisa BABA. Sikubaliani na watu wenye fikra km zako, ndio maana ndoa zenu zinakuwa NGUMU sana. Mie bado naishi na wife wangu km tupo kwenye uchumba, yaani very simple ku maintain ndoa yenye upendo, jitume tu utaona mafanikio yake lkn kama unashinda na washkaji kijiweni/Bar ukategemea NDOA yako idumu basi wewe kushnei.