Mapenzi yameisha ama?????

Dawa ndo hiyo mapenzi ya Isidingo sijui mama Mushka si wabongo wapi na wapi bana!!

Eti mpaka mwanaume ubembelezeee ulieeeeeeeeee ndo mambo yaende! nani wa hivyo:becky::becky:
 
Kuna wanawake tena wapo hapa hapa huwa wanasema kipato chake ni chake baba anajukumu la kuhudumia familia na gharama zote yeye hachangii maana kipato chake mwanamke ni chake binafsi mwanaume hakigusi na wala hachangii mahitaji yoyote yale kwenye familia.
 
hahahaha hizi ndoa ngoja tuwaachie wenye nazo mm kwangu lazima shughuli zote za nyumbani ufanye mwanamke

na wewe mwanaume ugharamie mahitaji yote ya nyumbani
 
Mkuu hapo sasa " conflict of interest"
 
Kama kipato changu mimi mwanamke tunachangia majukumu mimi na wewe mume basi na kazi zote za nyumbani tunasaidiana pasu kwa pasu kwani hata kwa bed mbona tunasaidiana vile vile. Ila ukitaka nikufanyie kila kitu basi gharama zote utoe wewe mie kipato changu kisiguswe
 
na wewe mwanaume ugharamie mahitaji yote ya nyumbani

Yap mm si ndo kichwa cha familia nimetoka kutafuta pesa alafu unaniambia nipac nguo zangu mwenyewe wewe unaangalia akina Kanumba mbona unaweza tolewa nduki
 
Kugharamia siyo shida:becky::becky: na ndivyo ilivyo:becky:

hapo tutaenda sawa hata ukienda msalani ukiona uvivu kujiswafi we niite tu mama fulani we njoo huku uniswafi
 
hapo tutaenda sawa hata ukienda msalani ukiona uvivu kujiswafi we niite tu mama fulani we njoo huku uniswafi

Hahahahaha lakini tukienda Bar kila mtu ajinunulie kinywaji hilo lazima liwe wazi
 
Yap mm si ndo kichwa cha familia nimetoka kutafuta pesa alafu unaniambia nipac nguo zangu mwenyewe wewe unaangalia akina Kanumba mbona unaweza tolewa nduki

Ukiwa hivyo nitakufanyia kila kitu mpaka ushindwe wewe, we nyoosha miguu tu kwa sitingi rum nitakuwekea na kakengele jirani yako ukiwa na shida unakabonyeza tu nakuja kukusikiliza bosi. Sio gharama za maisha tuchangie wote bado na kazi nyingine nifanye peke yangu hiyo HAIKUBALIKI
 
mi naona uwe unampa mkeo nguo unazotaka kunyosha ili anavyompa HG zake anaambatanisha na za kwako
 
Hahahahaha lakini tukienda Bar kila mtu ajinunulie kinywaji hilo lazima liwe wazi

Si kila mtu anakuwa ameenda kivyake tunakuwa tumekutana tu bahati mbaya kila mtu anajihudumia halafu tunarudi home kila mtu kivyake vile vile.
 
We unafaa kuolewa na mm itabidi nitangaze nia kabisa
 
hayo ni madhara ya watu kama nyie kujidai kichwa cha nyumba, sasa cndio kichwa kinakuwa kichwa.
 
hapo tutaenda sawa hata ukienda msalani ukiona uvivu kujiswafi we niite tu mama fulani we njoo huku uniswafi

Mbona kwenye pasi inakuwa ngumu sasa:becky:
 
Si kila mtu anakuwa ameenda kivyake tunakuwa tumekutana tu bahati mbaya kila mtu anajihudumia halafu tunarudi home kila mtu kivyake vile vile.

Ole wako nikukute umekaa na njemba mezani patakuwa hapatoshi
 
hayo ni madhara ya watu kama nyie kujidai kichwa cha nyumba, sasa cndio kichwa kinakuwa kichwa.

Ni maneno matakatifu yameandikwa hivyo! wala siyo kujidai :becky::becky:
 
haaaa...ndoa ndoa, Fidel miteremko kama hii ndio anaipenda sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…