Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anauza mayai ya kikundi chao niligoma kununua mayai ndio akasema ivyoAnafanya kazi gn
Ni kama maji tu hayo kiu ikikupata utayatafutaHongera mm ndio sipend tena
Af utanipenda wewe love is mosty my friend kuna mda unataman mtu akubembeleze tu au akudekeeAchana nayo
Mh mbn wapo wenye pesa wanachunwa tu na mzigo hawapew wanaishia kushikwa vitambiKweli Dunia inaenda kasi sana aisee,
Siku hizi na Wanaume pia wanafungua na Nyuzi za kulia kwa kuachwa!
Kijana tafuta pesa kisha hao Wanawake,wao wenyewe ndio watakuja kupanga foleni.
We ni introvert au?Af utanipenda wewe love is mosty my friend kuna mda unataman mtu akubembeleze tu au akudekee
Marahii nitaomba hapa ushauriNi kama maji tu hayo kiu ikikupata utayatafuta
Tutakuwa bize na wapenzi wetu🤣🤣Marahii nitaomba hapa ushauri
Yakikushinda Kaa tu singleHi
Nikifikiri kuhusu mapenzi naona mimi nimeumbwa kupenda na kuumizwa ila sio kupendwa mda wote unachunwa mpaka akiba
Vuta picha unakutaka na ex wako yupo na rafiki yake rafik yake anakupa salamu af ex wak anasema nilikula pesa zako
Ahaha kipind nakua nilipataga msukuma alikuwa anamipenda uyo ila sasa mm sikumpenda alikuwa mchafuWee Mwachi, lini uliyaweza hayo mapenzi? Mpaka leo yakushinde?
Sijaenda shule na sina pesa ya kumlipa mkalimani nitafsirie nikujibuWe ni introvert au?
kudekewaYakikushinda Kaa tu single
Samahan mkuu 😂😂Sijaenda shule na sina pesa ya kumlipa mkalimani nitafsirie nikujibu
Tutakuwa bize na wapenzi wetu🤣🤣
HahahaHi
Nikifikiri kuhusu mapenzi naona mimi nimeumbwa kupenda na kuumizwa ila sio kupendwa mda wote unachunwa mpaka akiba
Vuta picha unakutaka na ex wako yupo na rafiki yake rafik yake anakupa salamu af ex wak anasema nilikula pesa zako