Mapenzi yamesababisha urafiki wetu uvunjike

Mapenzi yamesababisha urafiki wetu uvunjike

Kuna mzee mmoja nilimuuliza nini asili ya ushirikina akanijibu karaha.Wewe hufai kuwa rafiki tena ni adui mkubwa please kaa mbali na mshikaji atakufanyia kitu mbaya.
 
Sasa mkuu angefanyaje kwa kulazimishwa huko na shem wake!
Mkuu unajua jinsi wanawake walivyo na ushawishi

Imeshawahi kikutokea ukatendwa hayo?

Huyo kwanza inaelekea alikua ana wivu kwa mwenzake. Na siku hiyo angekuwa na mwanamke karibu angeenda nae au hata angemuongelea hapo juu
Ni hatari hatari kwa kumtenda mwenzake na haswa kuja kuyaandika humu kihivyo.

Kuna mengi ya kuongea na kumweleza wamepeana namba, wakati hata aliporudi walipokaa. Asubiri utendwa pia
 
Yani ww ni wa hovyo kabisa.unajifanya kujitetea eti "Sikumtongoza uliponipa namba"...huku ni kuhalalisha maovu Yako na sio kuomba msamaha mfyuu.
Nimesema hivyo, kwa sababu mshkaji anajua aliponipa namba ya Anna ndo nilimoyongoza, kumbe sio kweli.
 
Dah kaka ulichofanya jamaa lazime akasirike mana umemzunguka mpaka unampa demu mimba ulichokifanya unakijua na matokeo unayajua pia ila kwangu sitaki nikukatishe tamaa endelea kumwmba msamaha sema kua makini kama mwenzako kafanyiwa hvyo ikaja kwako its pocbo pia ukaja fanyiwa wewe pia yote kwa yote jiridhishe kama mambo yapo sawa kila la kheri katika maisha yako.
Asante mkuu kwa ushauri wako
 
Me nikutie moyo tuu huyo Anna hakuwa akimpenda john hataa kidogo japo labda john alikuwa ndo kazama mzima mzimaa. Najua kuna watu wazima humu wanaelewa ile halii unakuwa na mtu sio sababu ya mapenz labda anakuwa na shida zako tuu. Hata usingekubali angetafuta mwingne tuu wakumfaa na Kama alikuona wewe ambae ni rafiki hakuna namnaa hapo busara itumike tuu.
Nashukuru sana mkuu kwa kunipa moyo
 
huyu rafiki ako kama akiwa na akili kama zangu atkusamehe tuu ila utajuta kwanini alikusamehe bora asingekusamehe tuu ... kila kitu ni hapa hapa duniani tuu usisahu hilo maana ulijifanya ni kidume sana na rijali sana
 
Huyo jamaa hakumuoa huyo mwanamke maana naona umemchukua mwanamke kiurahisi lakini kitendo ulichofanya ni kibaya jiangalia
 
Mmmh. Nawe umeyafanya. Ghkaaa!!!wanawake hakuna mpaka ugonge wa rafiki yako? Subiri na wewe utakapokuja kujua rafiki ako mwkngine anagonga hiyo Anna mbunye
 
Back
Top Bottom