Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Ndiyo maana mimi sikuachi na rafiki yangu hata kwa dakika moja... Hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke... Ukaribu hujenga mazoea... Mazoea huanzisha safari haramu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana mimi sikuachi na rafiki yangu hata kwa dakika moja... Hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke... Ukaribu hujenga mazoea... Mazoea huanzisha safari haramu...
Sasa mkuu angefanyaje kwa kulazimishwa huko na shem wake!
Mkuu unajua jinsi wanawake walivyo na ushawishi
Nimesema hivyo, kwa sababu mshkaji anajua aliponipa namba ya Anna ndo nilimoyongoza, kumbe sio kweli.Yani ww ni wa hovyo kabisa.unajifanya kujitetea eti "Sikumtongoza uliponipa namba"...huku ni kuhalalisha maovu Yako na sio kuomba msamaha mfyuu.
Asante mkuu kwa ushauri wakoDah kaka ulichofanya jamaa lazime akasirike mana umemzunguka mpaka unampa demu mimba ulichokifanya unakijua na matokeo unayajua pia ila kwangu sitaki nikukatishe tamaa endelea kumwmba msamaha sema kua makini kama mwenzako kafanyiwa hvyo ikaja kwako its pocbo pia ukaja fanyiwa wewe pia yote kwa yote jiridhishe kama mambo yapo sawa kila la kheri katika maisha yako.
Nashukuru sana mkuu kwa kunipa moyoMe nikutie moyo tuu huyo Anna hakuwa akimpenda john hataa kidogo japo labda john alikuwa ndo kazama mzima mzimaa. Najua kuna watu wazima humu wanaelewa ile halii unakuwa na mtu sio sababu ya mapenz labda anakuwa na shida zako tuu. Hata usingekubali angetafuta mwingne tuu wakumfaa na Kama alikuona wewe ambae ni rafiki hakuna namnaa hapo busara itumike tuu.
Jamaa kachukua na kumla demu wa mwenzake... Haijaishia hapo.. Mpaka mimba kampa... Haijishia hapo na kuishi ana ishi nae...
Ndiyo anakuja kuomba msamaha alipoiba...
Lakini kama asingekuwa hamna mbaya eeh?rafiki yako ana haki sana huo ulioufanya ni zaidi ya uuaji
"Like dissolves like" have you forgotten this principle Shunie?rafiki yako ana haki sana huo ulioufanya ni zaidi ya uuaji