atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Ni kama vile umeshindwa kusema hii ni chai so inabid uponde kwa style hii[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ni kwamba mmekosa kazi za kufanya au? Mnawezaje kuandika maelezo marefu hivi kwa ajili ya kupata likes na comments tu? Na mnawezaje daily kushinda humu mmu tu? Duh hii inashangaza sana[emoji848]
Ko hii ni chai??Ni kama vile umeshindwa kusema hii ni chai so inabid uponde kwa style hii[emoji23][emoji23][emoji23]
Daa mkuu, yaani Nasubiri mpelelezi mbobezi aonyeshe zaidi umahiri wake
Nimeshtuka eti kajiuwaDah .Brigedia Jackson nini tena kimemkuta ? Wkt alikuwa anaenda vzr sana...inaonekana huyu Bester na Nandipha wana watu
In Shaa AllahNeno Inshalaaah ? Huwa linatumika wapi ?
Ok asante MkuuIn Shaa Allah
If God Will 🙏
Pamoja sanaOk asante Mkuu
Hiyo scene Kuna mtu alikuwa ndani. Ya gari, Kisha brigedia alivyo ingia aka forciwa kuendesha gari.Nimeshtuka eti kajiuwa
Haiwezekani
Jamaa wamemlia timing
Hela mwanaharamu
Nasubiri muendelezo maana jasusi mbobezi kafa sijui vijana wake wataendeleza na kulipa kisasi na kuwakamata wauwaji?Hiyo scene Kuna mtubalikuwa ndani. Ya gari, Kisha brigedia alivyo ingia aka forciwa kuendesha gari.
Kisha akawekewa mtutu wa bunduki kichwani pembeni ya sikio, so alipo jaribu kuleta vurugu Waka mshoot.
Nawaza tu wakubwa Black Sniper, Tresor Mandala
Kaka uandishi ni bando, jobless bando Lina Isha mapema.Nasubiri muendelezo maana jasusi mbobezi kafa sijui vijana wake wataendeleza na kulipa kisasi na kuwakamata wauwaji?
Kauwawa hilo halina shaka
Pamoja mkuu.Sikujua hili jambo kwa undani hivi… hongera mkuu
Kaka uandishi ni bando, kwani Ina takiwa utafute deep content na kuunga dots kutoka kwa watu.Lete ya 5
Weka Namba ya muamalaKaka uandishi ni bando, kwani Ina takiwa utafute deep content na kuunga dots kutoka kwa watu.
Mimi ni Jobless pro max, Sasa bando langu Lina Isha Sana Kaka
Muamal haufai mkuu, we nipe vocha ya Airtel pm.Weka Namba ya muamala
DuuuuhMuamal haufai mkuu, we nipe vocha ya Airtel pm.
Sasa mkuu muamala mi wa kazi gani??, SI italeta shida bhana.Duuuuh
Hahahahahaha..mie nimewaza brigedia alikua black mail kiasi kwamba hakuwa na jinsi ..ama familia ilitekwa au walikua na files zake na yeye.. ujue ukiwa jasusi mkali means pia una mtandao mkali ndani na nje ya system wanakujua au wanaokupenyeshea za chiniHiyo scene Kuna mtubalikuwa ndani. Ya gari, Kisha brigedia alivyo ingia aka forciwa kuendesha gari.
Kisha akawekewa mtutu wa bunduki kichwani pembeni ya sikio, so alipo jaribu kuleta vurugu Waka mshoot.
Nawaza tu wakubwa Black Sniper, Tresor Mandala
Kuhusu familia hilo nalo wazo, ila naona kama kuna mtu alikuwa ndani ya gari.Hahahahahaha..mie nimewaza brigedia alikua black mail kiasi kwamba hakuwa na jinsi ..ama familia ilitekwa au walikua na files zake na yeye.. ujue ukiwa jasusi mkali means pia una mtandao mkali ndani na nje ya system wanakujua au wanaokupenyeshea za chini