Mapenzi yanapo waunganisha watu wawili na kupelekea mushkeri katika jamii

Hivi ni kwamba mmekosa kazi za kufanya au? Mnawezaje kuandika maelezo marefu hivi kwa ajili ya kupata likes na comments tu? Na mnawezaje daily kushinda humu mmu tu? Duh hii inashangaza sana[emoji848]
Ni kama vile umeshindwa kusema hii ni chai so inabid uponde kwa style hii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeshtuka eti kajiuwa
Haiwezekani
Jamaa wamemlia timing
Hela mwanaharamu
Hiyo scene Kuna mtu alikuwa ndani. Ya gari, Kisha brigedia alivyo ingia aka forciwa kuendesha gari.

Kisha akawekewa mtutu wa bunduki kichwani pembeni ya sikio, so alipo jaribu kuleta vurugu Waka mshoot.

Nawaza tu wakubwa Black Sniper, Tresor Mandala
 
Hiyo scene Kuna mtubalikuwa ndani. Ya gari, Kisha brigedia alivyo ingia aka forciwa kuendesha gari.

Nasubiri muendelezo maana jasusi mbobezi kafa sijui vijana wake wataendeleza na kulipa kisasi na kuwakamata wauwaji?
Kauwawa hilo halina shaka
 
Kaka uandishi ni bando, jobless bando Lina Isha mapema.

Maana lazima ufatilie deep info, na uunge dots zilizo andikwa na baadhi ya watu.
 
Hiyo scene Kuna mtubalikuwa ndani. Ya gari, Kisha brigedia alivyo ingia aka forciwa kuendesha gari.

Kisha akawekewa mtutu wa bunduki kichwani pembeni ya sikio, so alipo jaribu kuleta vurugu Waka mshoot.

Nawaza tu wakubwa Black Sniper, Tresor Mandala
Hahahahahaha..mie nimewaza brigedia alikua black mail kiasi kwamba hakuwa na jinsi ..ama familia ilitekwa au walikua na files zake na yeye.. ujue ukiwa jasusi mkali means pia una mtandao mkali ndani na nje ya system wanakujua au wanaokupenyeshea za chini
 
Kuhusu familia hilo nalo wazo, ila naona kama kuna mtu alikuwa ndani ya gari.
Why kioo kiji pasue pembeni, ange jipiga chini ya kidevu bhana!!
 
Back
Top Bottom