Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #81
Hapo juu angalia bhana π€Ikowapi
SawaNdio ndo nasoma hapa
SawaNdio ndo nasoma hapa
Hahahahahaha jamaa alikua yuko vzr sanaMkubwa Tresor Mandala, @fydell episode ya 3 tayari.
Hahaha, hapa tuna jifunza Kuna watu Wana fanya makosa.Hahahahahaha jamaa alikua yuko vzr sana
πππ kanisani ma parokwo
Yuleee wa nanihii au mwingine πMi ninaeπ€π
Aache janja janja shetani alimpitia kwenda wapi.Hahaha, hapa tuna jifunza Kuna watu Wana fanya makosa.
Halafu Wana Anza kuomba msamaha, Eti shetani ali nipitia.
Kumbe ni majangili ya kiwango Cha kimataifa.
Tayari huku kuna mtoto wa mtu kashajaa kwenye mfumo, huoni sionekani sana humu sikuhizi? πππ
Ila jamaa itakua jela ilimuharibu sanaHahaha, hapa tuna jifunza Kuna watu Wana fanya makosa.
Halafu Wana Anza kuomba msamaha, Eti shetani ali nipitia.
Kumbe ni majangili ya kiwango Cha kimataifa.
Mtaachana tu ππTayari huku kuna mtoto wa mtu kashajaa kwenye mfumo, huoni sionekani sana humu sikuhizi? π
Thubutuuuuuu bado hamjasemaMtaachana tu ππ
Naifuatilia hii story. Asante
Ukija na uzi wa majuto usiache kunitag π€£Thubutuuuuuu bado hamjasema
Wala si jela, ni njia aliyo chagua tu.Ila jamaa itakua jela ilimuharibu sana
Kwani huo wa mapambio uko wapi?Ukija na uzi wa majuto usiache kunitag π€£
Pamoja sanaNaifuatilia hii story. Asante