Mapenzi yanapo waunganisha watu wawili na kupelekea mushkeri katika jamii

Mapenzi yanapo waunganisha watu wawili na kupelekea mushkeri katika jamii

Sawa mjumbe mstaafu🤓, vipi Raine Col sija muona!!
Natafakari kwa kina bado nije vizuri 🤣 🤣
Raine Col leo jumapili itakua anatumika kanisani
🤣🤣
Sidhani 🤓, labda katekwa na mmiliki wake 🤣 Raine Col
🤣🤣 Kutekwa kwioo
Kumbe Raine Col anamilikiwa? Nilijua yuko single nipate uzee mwema
Tunamilikiana wewe 🤣🤣🤣 anaweka naweka
Nili msalimia Raine Col kwa lugha ya Kikubwa🤓, aka niambia kafie mbele 🤣
🤣🤣🤣 hopeful hujafa bado endelea kuwa Sub
Raine Col ajifunze huruma, nili jihisi labda nime potea njia🤓🤣
Huruma sio malezi nishasemaa@Shadow7
Rainel una sikia 🤓🤣🏃🏃🏃
Nawapata live🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom