Mapenzi yanapo waunganisha watu wawili na kupelekea mushkeri katika jamii

Sawa mjumbe mstaafuπŸ€“, vipi Raine Col sija muona!!
Natafakari kwa kina bado nije vizuri 🀣 🀣
Raine Col leo jumapili itakua anatumika kanisani
🀣🀣
Sidhani πŸ€“, labda katekwa na mmiliki wake 🀣 Raine Col
🀣🀣 Kutekwa kwioo
Kumbe Raine Col anamilikiwa? Nilijua yuko single nipate uzee mwema
Tunamilikiana wewe 🀣🀣🀣 anaweka naweka
Nili msalimia Raine Col kwa lugha ya KikubwaπŸ€“, aka niambia kafie mbele 🀣
🀣🀣🀣 hopeful hujafa bado endelea kuwa Sub
Raine Col ajifunze huruma, nili jihisi labda nime potea njiaπŸ€“πŸ€£
Huruma sio malezi nishasemaa@Shadow7
Rainel una sikia πŸ€“πŸ€£πŸƒπŸƒπŸƒ
Nawapata live🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…