Mapenzi yanatutesa Wanachuo, ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu kipindi hiki

Mtu na nusu

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
680
Reaction score
1,306
Habari yenu wana jamvi. Natumai mu wazima wa afya.

Nisipoteze muda iko hivi

Kuna binti mmoja hapa chuoni niko nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa. Ninampenda & analifahamu hilo. Ndo niliepanga toka awali awe mama watoto (Kama Mungu atabariki). Nimekuja kugundua yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine huko kwao.

Nimembana amenambia kila kitu na amesisitiza nisimuache kwani ananipenda sana. Nimemuomba aachane na huyo jamaa kama kweli ananipenda ila amesema na yeye anampenda pia. Nimemuuliza Kama ana future naye. Kaniambia anaona future pande zote( kwetu wote).

Hebu nisaidieni wakubwa. Make niko njia panda. Kumpenda nampenda sana.

Jf is my home where I can get every advice I need.


 
Mjusi katikati ya mlango๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Alaf ukikosa kazi unaanza kulalam umelogwa kumbe uliendekeza future na dem ukiwa chuo
Tafuta Future yako peke yako mzee, future na dem ni nyongeza tu

Anyway usiponielewa itakua bado wewe ni mtoto na ukibanwa zaidi ya hapo ndo utanielewa na itakua too late
 
Huna chako wakuja weeeeee
 
Acha ujinga kijana...chuo ndio sehemu ya kupiga kitabu na kuzisasambua papuchi nyingini iwezekanavyo. Huyo wala usipoteze muda wee endelea kumgegeda tuu kama fwb mambo ya sijui mama watoto futa kabisa
Nilishatoka
Nilikua mgegedaji mkubwa

Mzigo anatoa kiroho Safi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ