Mapenzi yanatutesa Wanachuo, ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu kipindi hiki

Mapenzi yanatutesa Wanachuo, ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu kipindi hiki

Chuo ni sehem ya kupita tu keep it on your mind.

Sehem ya kujirusha na kujiachia ni chuo .

Ninacho weza kukushauri enjoy uwezavyo iyo k ipige tu kupunguza ugumu ili maisha ya chuo yawe mepesi . Wewe kwenye Mambo ya kutafuta mchumba bado Sana unachangamoto nyingi Sana hata ukimpata huyo mchumba mwenyewe....relax dogo wewe zitembezee rungu tu na kupiga msuli basi no love chuo . Ukipuuza hii utanikumbuka
 
Hahaa mm nakushauri tafuta mwingine naww unaemkubali, huyo usimuache.....halafu acha maisha yaendelee Utakuja kunishukuru baadae.

mambo sijui ya future mke sijui nampenda sana achana nayo Mzee japo ikitokea sio mbaya ...usipo angalia ndugu utakuja na siredi ya kulia siku moja hapa.

Naongeza with eksipiriensi 😁🙌
 
Nyie madogo achaneni na ngono huko vyuoni, aliyekwambia mapenzi ya shuleni huja kuwa real ni nani, demu unakuta ana mabwana zaidi ya 10 kuna wa vocha, kuanwa assignment , kuna wa ouiting ,kuna wa school fees ikipelea yaani ni mlolongo, kuna mmoja aliliwa na darasa lake lote bila wao kujijua mpaka walipomaliza chuo
 
Alishaniambia hana shida
Hahaa duh ......br huna mke apo bali Una mtu ambae yupo naww Kwa interest fulani like maisha baada ya chuo nk

mkuu kwenye watanzania milioni 60 toa wanaume tuseme milion 25, wazee na watoto kama milioni 15, toa walioolewa na wasiotaka kuolewa labda milioni 3.....
Hivi kweli unafikiri katika milioni 18 ilobaki utakosa "wife wa kuoa" kweli ?

Jitafakari msomi kuna mahala unakwama.
 
Hahaa mm nakushauri tafuta mwingine naww unaemkubali, huyo usimuache.....halafu acha maisha yaendelee Utakuja kunishukuru baadae.

mambo sijui ya future mke sijui nampenda sana achana nayo Mzee japo ikitokea sio mbaya ...usipo angalia ndugu utakuja na siredi ya kulia siku moja hapa.

Naongeza with eksipiriensi [emoji16][emoji119]
I can use this broo
 
Back
Top Bottom