Hahaa ivi huo ujasiri anautoa wapi aisee......huyo jamaa wa kijijini anaongoza mpaka sasa
yeye 3 wewe 1 😁😁😁
yani ww upo karb na huyo bint bt anayo confidence ya kukwambia future anaiona kote huoni huo ni upuuzi mkuu.
LABDA HUYO BINTI ATAWAOA WOTE😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa ivi huo ujasiri anautoa wapi aisee......huyo jamaa wa kijijini anaongoza mpaka sasa
yeye 3 wewe 1 😁😁😁
yani ww upo karb na huyo bint bt anayo confidence ya kukwambia future anaiona kote huoni huo ni upuuzi mkuu.
LABDA HUYO BINTI ATAWAOA WOTE😁
doooh, ngoma kwa style hii haitaisha, itachezwa mpaka ngozi iliyowambiwa ichanikeAlishaniambia hana shida
[emoji3][emoji3] imebidi tu NichekeHahaa duh ......br huna mke apo bali Una mtu ambae yupo naww Kwa interest fulani like maisha baada ya chuo nk
mkuu kwenye watanzania milioni 60 toa wanaume tuseme milion 25, wazee na watoto kama milioni 15, toa walioolewa na wasiotaka kuolewa labda milioni 3.....
Hivi kweli unafikiri katika milioni 18 ilobaki utakosa "wife wa kuoa" kweli ?
Jitafakari msomi kuna mahala unakwama.
Mkuu nilipitia situation kama yako japo ni tofauti kidogo. hii kujikuta shrakani unampenda mtu mbaya mbovu sikuja amini kilichotokea ....I can use this broo
Miezi sita yote hiyo hujampa mimba tu?Habari yenu wana jamvi!
Natumai mu wazima wa afya.
Nisipoteze Muda iko hivi
Kuna binti mmoja hapa chuoni niko Nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa
Ninampenda & analifahamu Hilo.
Ndo niliepanga toka awali awe Mama watoto (Kama Mungu atabariki) .
Nimekuja kugundua Yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine huko kwao.
Nimembana amenambia kila kitu na amesisitiza nisimuache kwani ananipenda sana.
Nimemuomba aachane na huyo Jamaa Kama kweli ananipenda ila amesema na yeye anampenda pia.
Nimemuuliza Kama ana future nae
Kaniambia anaona future pande zote( kwetu wote).
Hebu nisaidieni wakubwa
Make Niko njia panda
Kumpenda nampenda sana.
Jf is my home where I can get every advice I need.
Kweli mkuu ni utani ila tafakari vizur ndugu ....mwenzio anacheza na double chance hapo.[emoji3][emoji3] imebidi tu Nicheke
Ushauri mzuri nitajitafakari msomi
Dogo soma achana na mabinti utawakuta tuHabari yenu wana jamvi!
Natumai mu wazima wa afya.
Nisipoteze Muda iko hivi
Kuna binti mmoja hapa chuoni niko Nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa
Ninampenda & analifahamu Hilo.
Ndo niliepanga toka awali awe Mama watoto (Kama Mungu atabariki) .
Nimekuja kugundua Yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine huko kwao.
Nimembana amenambia kila kitu na amesisitiza nisimuache kwani ananipenda sana.
Nimemuomba aachane na huyo Jamaa Kama kweli ananipenda ila amesema na yeye anampenda pia.
Nimemuuliza Kama ana future nae
Kaniambia anaona future pande zote( kwetu wote).
Hebu nisaidieni wakubwa
Make Niko njia panda
Kumpenda nampenda sana.
Jf is my home where I can get every advice I need.
[emoji3] I'm happy with thisKweli mkuu ni utani ila tafakari vizur ndugu ....mwenzio anacheza na double chance hapo.
em kaa fikiria siku anaamka anasema m naww basi naenda kuolewa , utapitia wakati gani mgumu ndugu.
sometimes wanaume tumeumbwa na mioyo migumu ya kufanya maamuzi magumu kwa lengo zuri Tu la familia zetu Kwa baadae. kuna mahala unahitajika kua na huruma ila kitachotokea mbele hutoonewa huruma (mark my words)
nimemaliza ,nakuombea Mungu akupe Nuru [emoji16]
Usituangushe tafadhali wanaume wenzako......😁🤝[emoji3] I'm happy with this
Thanks
Soma kwanza,naona una akili za kitoto bado, hakuna mpenzi mkweli chuoniHabari yenu wana jamvi!
Natumai mu wazima wa afya.
Nisipoteze Muda iko hivi
Kuna binti mmoja hapa chuoni niko Nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa
Ninampenda & analifahamu Hilo.
Ndo niliepanga toka awali awe Mama watoto (Kama Mungu atabariki) .
Nimekuja kugundua Yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine huko kwao.
Nimembana amenambia kila kitu na amesisitiza nisimuache kwani ananipenda sana.
Nimemuomba aachane na huyo Jamaa Kama kweli ananipenda ila amesema na yeye anampenda pia.
Nimemuuliza Kama ana future nae
Kaniambia anaona future pande zote( kwetu wote).
Hebu nisaidieni wakubwa
Make Niko njia panda
Kumpenda nampenda sana.
Jf is my home where I can get every advice I need.
[emoji3][emoji3] moto anapelekewaMpelekee moto [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23]
DaahNikikuonesha texts zangu tulizoexchange jana na leo utacheka. Mimi uongo na fake life siwezi kabisa, sasa yeye anachukulia advantage anauliza mipango yangu anajua namna ya kuexploit na vile siwezi multiple relationship sasa.
Ikitokea nina hela anapiga kizinga. This week tunamaliza UE anataka twende vacation, hela ipo na anajua ila ananambia eti hataki sex. Nimemuuliza uko tunakoenda kuna mkutano au kuna nini hasa tunaenda fanya?
Hapa kati ashaniomba hela ya mchezo eti wanazungusha anataka aanze kuweka savings, ni baada ya mimi kumwambia ninafanya savings benki. Hela yenyewe nyingi, afu bado outings na zawadi na dharula kadhaa.
Nimemwambia kama unataka nikuhudumie hilo sio tatizo, ila ujue ni two way traffick. Alijua nimezama sana kumbe hajui akili yangu haijawahi nisaliti kwenye mapenzi. Uzuri wake sio sababu ya kunitesa tutapambana. Uwezekano wa yeye kuacha sex naupa 0%, nihudumie kama mume afu yeye ahudumie kama friend?
Akiondoa sex tu, naondoa hela na outings kwenye mahusiano. Eti twende location tuangaliane kama majasusi, hapana.
Ao waigizaji tu jomba.. we chukua maamuzi unayoona yanafaaNimejaribu kumwambia tuachane
Amelia mbele yangu kuwa hayuko tayali kwa Hilo
& Amesisitiza nisiombe ushauri kokote make anajua watanishauri vibaya