Mapenzi yanatutesa Wanachuo, ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu kipindi hiki

Kidimbwi ipo sehem gan?
 
wewe acha masihala yako hapa, JF haipokei mijadala ya kihuni
 
Umempenda huyo msichana au umependa "tendo" mnaloshiriki??

Ushauri wangu; acha "uasherati", jitenge na "zinaa".
Weka bidii yako kwenye masomo, ukimaliza chuo, tafuta Mke uoe. Kila jambo na wakati wake.
 

Mkuu maisha ya wanachuo unayajua halafu bado unamshauri aongeze demu mwingine

In voice ya mkulu β€˜β€™wametuchezea sana’’
Captain its our turn now
Repel attack
Captain:fireeeeeh,
Kill them all,
No holding hostage
 
[emoji3][emoji3] 23-26 si haba mkuu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Maliza chuo tafuta kazi kisha kula kwanza maisha uje uoe ukiwa na kama miaka 32 _35 years hivi.
Hawa watu watakushangaza sana,ona huyo wako sasa kawapanga wawili kila mmoja anakula kwa wakati wake.
Ukfanikiwa kumuoa kabla ya huyo boya mwenzako nae ataendelea kula kwa wakati wake.
Akikuwahi yeye kuoa huyo nawe utakula tu kama unavyokula sa hizi.
 
Acha roho mbaya, kama unapewa na unafurahia basi acha nawengine wapewe
 
Pole sana...

Huu ndiyo ubishi wa binadamu wa siku hizi...

Huyo aliyekataa kumuacha na kukuelezea wazi wazi kwamba hatamuacha ndiyo anayependwa na siyo wewe...
 
Pole sana...

Huu ndiyo ubishi wa binadamu wa siku hizi...

Huyo aliyekataa kumuacha na kukuelezea wazi wazi kwamba hatamuacha ndiyo anayependwa na siyo wewe...
Nimemuacha
Nikapigiwa simu na rafiki yake anaumwa
Wamempeleka hospitali ugonjwa hauonekani

Nilipofika akapata nguvu + kulia
Anasema Kuna reason behind inayosababisha hivyo
Muda ukifika ataniambia

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ukipata GP ya 2.5 nitafte nikupe zawadi!
Sisi's wakati tunasoma hatukuwa na mpango kabisa wanachuo. Akijichanganya kwenye discussion room kwako unaamla yanaisha. Weekend tulikuwa tunaenda club's unanunua changudoa unamalizana nao. Jumatatu shule hadi ijumaa unaenda tena.
Wakati wa UE humkuti mtu huko ni shule tuuu
 
Ni watu wachache sana walioanzisha mapenz chuo wakaja kuoana kweli.
Mapenzi ya chuo huisha baada ya kumaliza tu, mnapokuja kutafuta kazi ndipo mnapeana certificate ya byeeee πŸ–οΈπŸ–οΈπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…