Mapenzi yanatutesa Wanachuo, ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu kipindi hiki

Ukiendelea kulazimisha mapenzi,,, utakuja kufa..

Mwanamke akisema hvo anamaanisha ujue hakupendi,,, acha kukaza kichwa watu walipendana hadi kushona sare na bado Wakaachana na matusi juu...

Kulia kwa mwanamke mara nyingi huwa ni uongo kuliko ukweli..


Alisikika muuza yeboyebo akisema
 
Mpaka nimeishiwa pozi kabisa,kucheka natamani hadi kulia natamani kwa komenti za wadau....sasa binti ana future na wanaume wawili,yan hataki kuwapoteza wote wawili na ww ushafahamu ya nn kuja kuteseka bure kijana huyo kashaonesha kabisa hajielewi...achana naye bana na tena ashakwambia usiombe ushauri kwa watu,basi itakuwa vituko kama ushauri pia usiombe,kwanza umefata kusoma na siyo kuwekeana future za ajabu kwa mtu ambaye hana msimamo mana baadaye utakuja tena humu kuomba ushauri...
 
We soma bhana,utayaweza yote? Km hicho tu kinakuchanganya unaomba ushauri,kuwa nyumbu tu umeshakula mzigo pita hivi future unaijua wewe
 
Nimejaribu kumwambia tuachane

Amelia mbele yangu kuwa hayuko tayali kwa Hilo
& Amesisitiza nisiombe ushauri kokote make anajua watanishauri vibaya
Sasa ataolewa na watu wawili. Mwache alie, si ana mwingine kamuweka kiporo?
 
Tuanze na wewe kwanza ..je wewe huna mwingine?!
 
Asante mkubwa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Dogo wee ni fala,

UNA MALAIZA CHUO KILA MTU ANA RUDI KWAO, ANEDNDELEA NAYE......!

Wee miezi.6 tu una ona ume pata??

SHENZI SANA, MNA TUMIA VIBAYA MALI ZA WAZAZI WENU NA FEDHA ZETU ZA SERIKALI TUNAZO WAKOPEHSENI MNAENDA kuzifanyie ufuska.....
 
Mabinti wa chuo wana iga sana maisha ya kisasa na kusahau uhalisia wa hali za vipato vyao kwa asilimia kubwa wameshatangaziwa ndoa huko mikoani kwao sasa shida hao waliotangaza ndoa vipato ni vidogo na wengine hawana ajira kabisa walikuwa mtaani pamoja au walimaliza shule ya sekondari pamoja sasa mdada akiwa chuo anataka apendeze kama anaowaona machoni mwake kumbe wenzake ni familia bora sasa wakumsadia pesa za kununua Iphone maana tecno anaona miyeyusho, nguo nzuri,pesa za saloon,akiwa chuo ale chips mishikaki,wikend anataka kwenda mlimani city au kidimbwi kwa waliopo Dar sasa hivyo vitu kufanywa na mwanaume mmoja ni kazi sana kwa hiyo hizo kazi inabidi zifanywe na wanaume tofauti tofauti na shughuli ndio inapoanza sasa.Ushauri wangu kwa akina dada mnaosoma vyuoni acheni kuona wanaume wana pesa nyingi halafu hazina kazi na vijana punguzeni kuwa ma lover boy wakati mifukoni hamna kitu pigeni kitabu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nimejaribu kumwambia tuachane

Amelia mbele yangu kuwa hayuko tayali kwa Hilo
& Amesisitiza nisiombe ushauri kokote make anajua watanishauri vibaya
Achana na drama Kama hizi.
Ukiwa ujakua matured girls watakutesa Sana kichwa. More than 98% ya relationship za chuo are ment for socialization and experiencing manhood.
Endelea tu kujifunza jinsi ya kupiga deki hadi ukaushe sakafu na kujifunza radha ya mate ila hayo mambo ya future muachie Mr tommorow.
 
Si dhani kama kuna mapenzi hapo huyo manzi anaku ectia tu ili uamini vizur subiria mpk mmalize chuo utakuja kutoa ushuhuda.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1751][emoji932][emoji932]
 
sasa hapo unasubiri nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…