Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hatar Umenikumbusha zamani nilikuwa naamka usiku naanza kulia

Siku moja mama anaamka kuswali alfajir anasikia kilio chumbani akaja akasimama mlangoni ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€akaniangalia akasonya akaondoka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Legend alielewa! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom