ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Kuna mkaka aliniambia nibadili dini ndio anioe, nikakataa akasema basi tuachane nikam'bembeleza siku ya 1 akagoma kesho yake nikajikazaHiki ndo kitu huwa nakiwaza yani watu bilioni kadhaa kweli kuhangaika na mutu 1 aaaiiihhh labda sijui lakini labda ni kiburi changu cha uzima
Siku ya 2 nikapata babe mpya☺️
Haijapita mwezi kanitafuta eti bado ananipenda turudiane nikamwambia 'Mbona mimi bado sijabadili dini kama ulivyotaka'
Akaniambia hajali tena kama nitabadili au lah
Nikamwambia 'Nenda! Mimi nina babe mpya'
