Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

can you imagine that sikuwa na sms , nikaamua kuchukua sim ya rafk angu kumtext babe mama , na hivi hakuwaga na namba ya rafik ang, jamani ni kama MUNGU alitaka anionyeshe yule kunguru makucha yake , si akakosea txt alikuwa na miadi ya kukutana na jamaa tena mwalimu wa sekondari, nilikuwa sehem napata msosi mbna hamu iliisha nikaanza kujiburuta kurudi home ,miguu ilikuwa mizito.😥
 
Back
Top Bottom