Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

Acha tu bro kale kafeeling sio poa

Imagine watu tumeachwa tunasikilizia maumivu miaka 3 baadae

Unanyatia IG yake uone anafanya nini

Namba unayo unatamani upige ila dah

Ukikumbuka yale manjonjo....

Acha tu
Ongea nae tu mkuu myamalize, coz three years na bado hajapata replacement it means njia alizopita kwenye moyo wako ni zatofauti sana... kuwa sharkhan kama vipi, hamna kukata tamaa hadi kieleweke hahahaaa
 
Back
Top Bottom