Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

tena mate chini.. nilikuwaga na mie nasema kama wewe... ila nilipojaa kwenye mfumo.. nilielewa hata wengine ilikuwaje wakajiua wengine kujirusha kwenye vyombo vya usafiri.. zunguka tu.. ila usijae kwenye mfumo
Kujaa kwenye mfumo wapii? Mnaendekeza ujinga na upuuzi tyuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nilipendaga ilo lijamaa enzi izo mshamba wa mapenz sjui hata mshindo ni nini,, aaaloooooh badala anifundshe aliniacha kwa dharau sana [emoji31],, maumivu yaleeeee
Umeikata hii story, tuletee nzimaa bhanaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo la mapenzi hata yawe motomoto kiasi gani, hufifia kadri muda unavyokwenda. Hata kama mtaishi milele hayatakuwa kama pale mwanzoni. Pamoja na kufifia mapenzi yanaweza kufika mbali yakichanganyika na mazoea, umeshamzoea mtu kiasi kwamba akiwa hayupo unaona kuna jambo halijakaa sawa. Sasa hayo siyo mapenzi ni mazoea.
 
Kuweni na viburi vya uzima mapenzi hayatawaumiza, ukiona mtu unaempenda kaanza kujiona chips mayai, au chips kuku wa kienyeji muwahi mkache, mlete taratibu akijaa kwenye mfumo ameisha, ukishakuwa sawa sasa yeye anaweweseka ndo na wewe unaanza kuwa chips mayai...... katika hicho kipindi ni hakuna kujibu sms wa kupokea simu hata atumie line ya ikulu, maza faki
 
Back
Top Bottom