Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

Kanipora mume halafu hajiamini [emoji81][emoji81][emoji81]
Mmeshaanza kuchachuanaa? Hivi hamnaga vya kuwaweka buzzy?
Woiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂 Wewe mapenzi unayapa kipaumbele sana ndiomana yanakutesa, njoo huku mbarali unisaidie kuvuna uache kuwaza ujinga
ingekuwa mwezi wa pili au watatu walahi ningekuja aisee... nilikuwa nahaha.... mapenzi ya mwisho mwa ligi huwa matamu.. ila sasa ukijaaa kwenye mfumo ndio utaelewa
 
Kuweni na viburi vya uzima mapenzi hayatawaumiza, ukiona mtu unaempenda kaanza kujiona chips mayai, au chips kuku wa kienyeji muwahi mkache, mlete taratibu akijaa kwenye mfumo ameisha, ukishakuwa sawa sasa yeye anaweweseka ndo na wewe unaanza kuwa chips mayai...... katika hicho kipindi ni hakuna kujibu sms wa kupokea simu hata atumie line ya ikulu, maza faki
'Niambie wewe ni mhaya bila kuniambia wewe ni mhaya...'
 
Yani we ulidhani jf ni wajinga saaana..
Na ulitaka kujikuta kwamba una date na mtu flani star, publiic figure...
Pm nilitaka nikuone live, je wewe ni mwanamke, na niliandika public kwamba nakufuata PM, hamna siri hapo...

ningekukuta ni mwanamke lazima ningekuzagamua tu.. kwa asilimia kubwa sina imani na ID yako...

Kwanza hujiamini...
😁😁😂😂😂😂😁😁
 
Back
Top Bottom