Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

Eendiwoooooo love. Uliniumiza sana😏😕😊
Meme Icon.jpeg

Mh! Mh! Mh!
Mhhhhhhhh
 
Yasije nikute tena aisee.. maumivu yake usipime.. siku za mwanzo mwanzao.. nilihisi kama upande mmoja wa mwili haufanyi kazi , depresion nikisikia harufu ya chakula natapika.. week tatu kama nilikuwa motoni.. baada ya mwezi ndio nikaanza hata kula bila kutapika.. mtu sasa hivi nikimuona kwenye mambo ya mapenzi namtazama tu, ila sina hamu nayo wala kupenda sitaki tena
Mkuu njaa haikukuuma kisawasawa wewe.!!
Usile sababu ya mtu mzima mliyekutana ukubwani? Mwenye minjino 32 mengine yameoza na kutoboka?? 😹😹😹
Pole sana
 
Nilifall in love kipindi niko o'level na advance tu, baada ya hapo sijawahi kua ile deep kabisa mpaka nimiss au niumie kwa manzi kunicheat au kuniacha kabisa.

Waliotopea kwenye mapenzi huwaambii kitu kuhusu wapenzi wao, hata mimi enzi hizo sijui unambie kuhusu demu wangu nikuamini, haya mambo haya aisee.
 
Acha tu bro kale kafeeling sio poa

Imagine watu tumeachwa tunasikilizia maumivu miaka 3 baadae

Unanyatia IG yake uone anafanya nini

Namba unayo unatamani upige ila dah

Ukikumbuka yale manjonjo....

Acha tu
Achana na kumfuatilia fanya mambo yako. Wala usitake kujua amefanikiwa au amefeli maisha. Niko na jamaa namuelekeza kazi yeye maex wake wakinunua magari anasikitika anakosa hamu ya kula. Namuona bwege
 
Mkuu njaa haikukuuma kisawasawa wewe.!!
Usile sababu ya mtu mzima mliyekutana ukubwani? Mwenye minjino 32 mengine yameoza na kutoboka?? 😹😹😹
Pole sana
tena mate chini.. nilikuwaga na mie nasema kama wewe... ila nilipojaa kwenye mfumo.. nilielewa hata wengine ilikuwaje wakajiua wengine kujirusha kwenye vyombo vya usafiri.. zunguka tu.. ila usijae kwenye mfumo
 
tena mate chini.. nilikuwaga na mie nasema kama wewe... ila nilipojaa kwenye mfumo.. nilielewa hata wengine ilikuwaje wakajiua wengine kujirusha kwenye vyombo vya usafiri.. zunguka tu.. ila usijae kwenye mfumo
Kujiua tena?? 😹😹😹
Kemea pepo hilo, maisha yalivyo matamu nijiue??
Utapata mwingine utakayempenda mpk utajiona mjinga kujiliza kwa mtu km huyo.!!
Jifunze kumuacha aende, hiyo ni njia ya kufungua yule mtu sahihi kukufikia.
 
Kujiua tena?? 😹😹😹
Kemea pepo hilo, maisha yalivyo matamu nijiue??
Utapata mwingine utakayempenda mpk utajiona mjinga kujiliza kwa mtu km huyo.!!
Jifunze kumuacha aende, hiyo ni njia ya kufungua yule mtu sahihi kukufikia.
yes, huwa inafika kipindi unaachia.. ila kabla ya kuachia kuna mateso sio ya kitoto
 
nilipendaga ilo lijamaa enzi izo mshamba wa mapenz sjui hata mshindo ni nini,, aaaloooooh badala anifundshe aliniacha kwa dharau sana 😫,, maumivu yaleeeee
maumivu yakd sio ya kitoto.. hasa sie wengine tulikuwa na ndoa kabisa.. aah.. hii kitu sikia kwa mwingine, ukifikwa na bwana maumivu ndio utajua.. kuna mahala unatamani iwe ndoto.. lakini waaapiii
 
Mimi sijawahi kuachwa, sina uhakika sana na uchungu wa kuachwa, lakini kupitia nyinyi nimejiridhisha kwamba mapenzi yanauma na matokeo yake ni kudhoofu afya na roho.

Pamoja na karaha zake asikwambie mapenzi ni matamu sana. Utamu wa mapenzi hakuna maneno ya kutosha kuelezea. Kwa waliowahi kupenda mnaweza kurejea kumbukumbu zile nyakati za mwanzo. Kuna kale kafeeling mlikuwa mnakasikia mkiwa mmezama kwenye dimbwi zito la mapenzi.

Usiombe mkakutana wote wawili mnapendana. Hatari sana. Unaweza kuona dunia nzima hii wewe ndio mtu wengine wanapoteza muda tu. Am talking about emotions, intimacy, passion, and commitment.

Hata mkipigana show inakuwa show inayoambatana na hisia kali zisizoelezeka. Mnajikuta ni kama mpo dunia ya kwenu peke yenu. Labda mtu mwingine hapa.anaweza kuelezq vizuri zaidi.

Tatizo ni kufanya hisia hizi tamu ziendelee kuwa hai. Binadamu hawaaminiki, wako uncertain sana. Lakini kama trend ya mapenzi mazito ingekuwa maintained mpaka kufa, basi dunia ingekuwa nusu ya peponi.
Mapenzi hayaumi, watu ndio wanaumwa.

Mimi mbona sijawahi kuumwa na mapenzi?
 
Back
Top Bottom