Mapenzi yanauma nyie!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Hapa sijala nina siku saba!😭

Kaniita Mimi shetani halafu navuta hewa ya msaada! Nimemnasa kibao nikapiga na mtama bahati mbaya nikaanguka mimi nimekonda nimebaki robo! Baada ya kuanguka akaniuma kwenye shingo! Huyu mwanamke hana huruma kabisa akaja akanikalia tumboni kwa mara ya kwanza nikajua neno "JIRANII" lina umuhimu gani ukilitamka kwa kupiga kelele!.

Ndo nipo na majirani wananinywesha uji kimbaumbau wa watu!.

Lakini bado nampenda huyu Israel mtoa roho..😒
 
Hahaha!! Umeoa bondia, pole sana mkuu
 
We jamaa nini tena hiki? Yani unadhibitiwa na my Wife wako πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Nimesoma kwa imagination kama vile nashuhudia tukio.

Pole sana baharia
 

Unakaa DAR sehemu gani?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
H
Ahaaaaaa huyo mwanamke atakuwa mkurya aiseee
 
Mkuu koroga oral pakti 4 weka kwenye jagi jilazimishe kunywa.
 
Pambana Na hali yako 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…