Mapenzi yanauma nyie!

Mapenzi yanauma nyie!

Hapa sijala nina siku saba![emoji24]

Kaniita Mimi shetani halafu navuta hewa ya msaada! Nimemnasa kibao nikapiga na mtama bahati mbaya nikaanguka mimi nimekonda nimebaki robo! Baada ya kuanguka akaniuma kwenye shingo! Huyu mwanamke hana huruma kabisa akaja akanikalia tumboni kwa mara ya kwanza nikajua neno "JIRANII" lina umuhimu gani ukilitamka kwa kupiga kelele!.

Ndo nipo na majirani wananinywesha uji kimbaumbau wa watu!.

Lakini bado nampenda huyu Israel mtoa roho..[emoji22]
Nimecheka mno aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa sijala nina siku saba!😭

Kaniita Mimi shetani halafu navuta hewa ya msaada! Nimemnasa kibao nikapiga na mtama bahati mbaya nikaanguka mimi nimekonda nimebaki robo! Baada ya kuanguka akaniuma kwenye shingo! Huyu mwanamke hana huruma kabisa akaja akanikalia tumboni kwa mara ya kwanza nikajua neno "JIRANII" lina umuhimu gani ukilitamka kwa kupiga kelele!.

Ndo nipo na majirani wananinywesha uji kimbaumbau wa watu!.

Lakini bado nampenda huyu Israel mtoa roho..😢
We umeoa mnigeria ama mlikutana gym
 
Mapenzi yanauma???
Wee haujawahi kuweka chai ya maziwa jikoni, wakati unaandaa andaa mkate wako viblue band chai inachemkia na kumwagika yote...unaweza kaa chini uangue kilio
 
Sasa mapenzi ni zaidi ya hicho..
 
Back
Top Bottom