Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka mno aisee.Hapa sijala nina siku saba![emoji24]
Kaniita Mimi shetani halafu navuta hewa ya msaada! Nimemnasa kibao nikapiga na mtama bahati mbaya nikaanguka mimi nimekonda nimebaki robo! Baada ya kuanguka akaniuma kwenye shingo! Huyu mwanamke hana huruma kabisa akaja akanikalia tumboni kwa mara ya kwanza nikajua neno "JIRANII" lina umuhimu gani ukilitamka kwa kupiga kelele!.
Ndo nipo na majirani wananinywesha uji kimbaumbau wa watu!.
Lakini bado nampenda huyu Israel mtoa roho..[emoji22]
We umeoa mnigeria ama mlikutana gymHapa sijala nina siku saba!ðŸ˜
Kaniita Mimi shetani halafu navuta hewa ya msaada! Nimemnasa kibao nikapiga na mtama bahati mbaya nikaanguka mimi nimekonda nimebaki robo! Baada ya kuanguka akaniuma kwenye shingo! Huyu mwanamke hana huruma kabisa akaja akanikalia tumboni kwa mara ya kwanza nikajua neno "JIRANII" lina umuhimu gani ukilitamka kwa kupiga kelele!.
Ndo nipo na majirani wananinywesha uji kimbaumbau wa watu!.
Lakini bado nampenda huyu Israel mtoa roho..😢
Hivi mapenzi yanaumaje mbna mie sielewi eti? [emoji23][emoji23][emoji23]Hivyo unafurahia mkuu..?
Kwani mapenzi yanauma kwa kuchagua jinsia? Tuanzie hapo kwaniTuanzie hapa kwanza we ni me au ke..?