Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aweke nambari za huyo mudada..😀Kuna Mwanangu Mmoja kanambia amemtongoza Mdada Mmoja Hivi wakakutana Jana Sehemu Kwenye mazungumzo yule Dada akamwambia Hataki Mapenzi ya Kupendwa, amuite Mahali wanyanduane Maisha Yameisha, Anaamini hakuna mwanaume anaempenda
Eeeh pole ,kupigwa huko bado unampenda,endelea kumpendaHapa sijala nina siku saba!😭
Kaniita Mimi shetani halafu navuta hewa ya msaada! Nimemnasa kibao nikapiga na mtama bahati mbaya nikaanguka mimi nimekonda nimebaki robo! Baada ya kuanguka akaniuma kwenye shingo! Huyu mwanamke hana huruma kabisa akaja akanikalia tumboni kwa mara ya kwanza nikajua neno "JIRANII" lina umuhimu gani ukilitamka kwa kupiga kelele!.
Ndo nipo na majirani wananinywesha uji kimbaumbau wa watu!.
Lakini bado nampenda huyu Israel mtoa roho..😢
Nipe Mimi Mkuu Nikufundishie!! naanza na wewe kuwa huyo ndo mzuri huyo akikukalia sasa hapo si ndo patamu !! kwanza ndo inaingia hapo hapo kwa uzuriiii!!Hapa sijala nina siku saba!😭
Kaniita Mimi shetani halafu navuta hewa ya msaada! Nimemnasa kibao nikapiga na mtama bahati mbaya nikaanguka mimi nimekonda nimebaki robo! Baada ya kuanguka akaniuma kwenye shingo! Huyu mwanamke hana huruma kabisa akaja akanikalia tumboni kwa mara ya kwanza nikajua neno "JIRANII" lina umuhimu gani ukilitamka kwa kupiga kelele!.
Ndo nipo na majirani wananinywesha uji kimbaumbau wa watu!.
Lakini bado nampenda huyu Israel mtoa roho..😢
Na jibu lake ni jepesi pia,Swali ni jepesi Sana.
Basi kajitundike mtakufa kabla ya mudaNampenda