BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,975
Si ungekunywa mo energy au Kung Fu energy mwamba upate Nguvu fasta umchape Kama brucee leeHapa sijala nina siku saba![emoji24]
Kaniita Mimi shetani halafu navuta hewa ya msaada! Nimemnasa kibao nikapiga na mtama bahati mbaya nikaanguka mimi nimekonda nimebaki robo!.. baada ya kuanguka akaniuma kwenye shingo! Huyu mwanamke hana huruma kabisa akaja akanikalia tumboni kwa mara ya kwanza nikajua neno "JIRANII" lina umuhimu gani ukilitamka kwa kupiga kelele!.
Ndo nipo na majirani wananinywesha uji kimbaumbau wa watu!.
Lakini bado nampenda huyu Israel mtoa roho..[emoji22]
Hapa sijala nina siku saba!😭
Kaniita Mimi shetani halafu navuta hewa ya msaada! Nimemnasa kibao nikapiga na mtama bahati mbaya nikaanguka mimi nimekonda nimebaki robo!.. baada ya kuanguka akaniuma kwenye shingo! Huyu mwanamke hana huruma kabisa akaja akanikalia tumboni kwa mara ya kwanza nikajua neno "JIRANII" lina umuhimu gani ukilitamka kwa kupiga kelele!.
Ndo nipo na majirani wananinywesha uji kimbaumbau wa watu!.
Lakini bado nampenda huyu Israel mtoa roho..😢
Hahahahaha imenibidi nichekeHapa sijala nina siku saba!😭