Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,963
- 4,027
Mkuu sina haja ya kubisha ila katika maisha ya ndoa nimejifunza mengi sana na mwisho nikaamua kupuuza baadhi ya mambo ili ndoa iwe na afyaYou did this from the second time you loved a woman. First time lazma uliumia tu hata ukijitutumua. There was a point ulilia mzee. Ruksa kubisha. Maana mtu mpaka ayajue hayo lazma kuna changamoto alipitia
Pole mkuu kwa yaliyokukuta. You will heal.Dah! Nina mambo mengi ya muhimu huwa sikai kuwaza mapenzi.
Nikitaka mapenzi nanunua ni lini yataniliza?
Athari za kushiba hizo! Ukiwa na njaa hata huwezi kujua mapenzi ni nini!
Sasa subiri mwanamke akufundishe kuna vitu vya msingi ukiwa mwanaume zaidi ya kuwaza kumridhisha mtu asiyejua anataka Nini....Yaani niwe na mwanamke wa malengo nae ambae ni mama wa watoto wangu nisiinvest kwake kwa kua naogopa kusemwa? Haipo hiyo kitu
Kuna msemo unasema "ukiona mapenzi hayakuumizi tena jua ushakuwa malaya".Yaani niwe na mwanamke wa malengo nae ambae ni mama wa watoto wangu nisiinvest kwake kwa kua naogopa kusemwa? Haipo hiyo kitu
Ukiomba yasikukute ndio yatakukuta sasa! Bora uombe yakukute ujifunze kitu haya maumivu usiwe unayasikia tu nyumba ya jirani, angalau na wewe upate kitu cha kusimulia uzeeni.Mungu aniepushie tu yasinikute kwakweli.
😂😂😂😂😂😂Ukiomba yasikukute ndio yatakukuta sasa! Bora uombe yakukute ujifunze kitu haya maumivu usiwe unayasikia tu nyumba ya jirani, angalau na wewe upate kitu cha kusimulia uzeeni.
Sijawahi kulizwa na mapenzi na sitalizwa.Pole mkuu kwa yaliyokukuta. You will heal.
Duh Mungu aninusuru yaani ndugu wacha tu naninapokuwa na mawazo mwili unaniwasha sana. Na tumbo kama hivyo kuunguruma husema leo nikifo. Ushauri tafadhalUna dalili za kupata vidonda vya tumbo kwasababu ya mawazo
Punguza mawazo,keep yourself busy.Duh Mungu aninusuru yaani ndugu wacha tu naninapokuwa na mawazo mwili unaniwasha sana. Na tumbo kama hivyo kuunguruma husema leo nikifo. Ushauri tafadhal
Siku nilipoachaga kula mdudu wakati nishamrost vizuri halafu imaingia text it's over between us dah kila nikiweka ugali hauendi ile siku nailaani sana sikuwahi kufikiri mimi na ushababi wangu naweza kuacha kula kisa mwanamke. Sema ndo imetoka hiyo akitokea mwingine wa kuniumiza hivyo sijui lini.
Bado me naonaga ni upuuzi tu na kukosa kazi kulia lia mtoto wa kiume kisa mapenzi.
Muda ni tabibu wa hakika...
Utaendelea kua upuuzi mpk utakapoumizwa
HahaaaDp yako inaonyesha hali halisi, hivi njaa sijui inapoteleaga wapi