Mapenzi yanauma sana ndugu zangu, kamwe usimcheke mtu kama bado hayajakukuta

Mapenzi yanauma sana ndugu zangu, kamwe usimcheke mtu kama bado hayajakukuta

You did this from the second time you loved a woman. First time lazma uliumia tu hata ukijitutumua. There was a point ulilia mzee. Ruksa kubisha. Maana mtu mpaka ayajue hayo lazma kuna changamoto alipitia
Mkuu sina haja ya kubisha ila katika maisha ya ndoa nimejifunza mengi sana na mwisho nikaamua kupuuza baadhi ya mambo ili ndoa iwe na afya
 
Yaani niwe na mwanamke wa malengo nae ambae ni mama wa watoto wangu nisiinvest kwake kwa kua naogopa kusemwa? Haipo hiyo kitu
Sasa subiri mwanamke akufundishe kuna vitu vya msingi ukiwa mwanaume zaidi ya kuwaza kumridhisha mtu asiyejua anataka Nini....

Wewe kwanza mapenzi umeanza ukubwani sijui ulikuwa unatunza bikra!kulizwa huko wenzako tulilia tukiwa na miaka 15, form 2, baada ya hapo ni kufocus na vitu vya msingi tu..

Huwezi kumuweka mwanamke kipaumbele Cha kwanza kwenye maisha yako halafu utarajie utakuwa salama, mwanamke gani anataka Mwanaume mpuuzi kiasi hicho?????hawa hawa wenye low self-esteem au?make money,invest ,kuwa na hobbies,be happy,kuwa busy kijana.. mapenzi Ni part ndogo sana ya maisha yako.
 
Yaani niwe na mwanamke wa malengo nae ambae ni mama wa watoto wangu nisiinvest kwake kwa kua naogopa kusemwa? Haipo hiyo kitu
Kuna msemo unasema "ukiona mapenzi hayakuumizi tena jua ushakuwa malaya".
Kwa mtindo huu basi kazi ipo.
 
Una dalili za kupata vidonda vya tumbo kwasababu ya mawazo
Duh Mungu aninusuru yaani ndugu wacha tu naninapokuwa na mawazo mwili unaniwasha sana. Na tumbo kama hivyo kuunguruma husema leo nikifo. Ushauri tafadhal
 
Yaani najitahidi sana kuyawacha na kupotezea lakini yanakuja wenyewe sijui kwanini na zaidi ninapomkataza jambo fualni asifanye halafu aje alifanye lile nililomkataza hapo naumia sana kichwa kuuma,tumbo hivyo te na, mwili kuwasha balaa. Ushauri zaidi unahitajika kuokoa jahazi linazama.
 
Siku nilipoachaga kula mdudu wakati nishamrost vizuri halafu imaingia text it's over between us dah kila nikiweka ugali hauendi ile siku nailaani sana sikuwahi kufikiri mimi na ushababi wangu naweza kuacha kula kisa mwanamke. Sema ndo imetoka hiyo akitokea mwingine wa kuniumiza hivyo sijui lini.
 
Dp yako inaonyesha hali halisi, hivi njaa sijui inapoteleaga wapi
 
Back
Top Bottom