Mapenzi yanauma sana ndugu zangu, kamwe usimcheke mtu kama bado hayajakukuta

Same applied to men, hutakiwi kujiweka hadi akuone kuwa kwake haupumui wala hauhemi. Hamna rangi utaacha ona.

Ila daaah tumeyafanya mapenzi yamekuwa kitu cha ajabu, full kuviziana tu😂😂😂
Hahaha ni wivu tu😂😂😂 tatizo amna anaekubali kuwa bwege ndio maana ndoa ngumu sana sikuhizi
 
Haha hatari jamani
 

Ningezimiaaa, nasema hivo kwa kua najijua, nikipenda ni mmoja tuu
 
Pole bro yalinikuta pia Ila nikajifunza kitu kikubwa sana na pia yalinifanya niwe dhahabu na wewe afadhali hilo limetokea kabla ya ndoa so hapa mwambie Mungu ASANTE kwa kukuepusha na janga ambalo ungekutana nalo kwenye ndoa

Sure kwa sasa funzo ulilolipata au nililolipata Mimi limeniimarisha sana mpaka namshukuru Mungu .then ujue challenge no msingi mkubwa kwa anayejua maana ya maisha ila ni mateso sana kwa asiyejua maana ya maisha
 
Ulikosea sana mwanamke anapenda amani na Shari mwanamke usipompa Shari atakuona we boga upendo wa mwanamke hukamilika unapompa shoruba hafu unarudi unammanga hawezi kukuacha

Kutompa mwanamke changamoto lzm akutese wewe akipata anayejua hivo lzm akuache
 
mkuu nakuja pm mda si mrefu
 
Kaka sina mengi sana ya kukuambia ila pole sana ndugu yangu but ilikuwaje shemeji kakuzingua au ulimfumania nini
 
Nashukuru sana, nimepoaa sasa
I feel you. Huenda huyo mtu hakuona future yoyote kwako, mapenzi hayalazimishwi. Wakati mwingine waoneeni huruma watu wanaowaacha, na wao wanastruggle kuwasahau. Sema hii side huwa hamuioni kwa vile mnakuwa mnaongozwa na lawama. Narudia tena, ni vigumu kuwa na mtu ambaye humpendi.
Pole sana weeh.
 
Pongezi kwenu maana sisi wengine tukiingia kwenye mahusiano huwa tunapenda vibaya na tukitendwa inatukoti vibaya.
Siyo tunapenda vibaya mkuu ni kwamba hatuwezi kuwa wanafiki kuuficha upendo
We give it all at once, .

Mimi siwezi kuuficha upendo Kama ninampenda mwanamke sure atajua 100%
Akizingua fresh tuu ila sijawahi kula kibuti , ila
Dalili zote za kibuti naziona nimekaa kando nasubiria tuuu
 
Kaka sina mengi sana ya kukuambia ila pole sana ndugu yangu but ilikuwaje shemeji kakuzingua au ulimfumania nini

Ingekua bora, najua Ningesamehe, yaani sikutaka kumpoteza atoke mikononi mwangu
 

Daaahh, bora ujitenge mapema usikutwe na bwana pepsi huyu, hakulipii afu anakuacha peke yako
 
Aisee unasubiri maumivu una moyo mgumu mkuu
 
Mkuu ushawahi kunyofolewa ukucha wa kidole kikubwa cha mguuni? Unayafahamu maumivu yake? Utagundua hayo maumivu unayo yasema ya mapenzi si kitu.
Nameza diclopar na pirton. [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…