Mapenzi yanauma sana ndugu zangu, kamwe usimcheke mtu kama bado hayajakukuta

Mapenzi yanauma sana ndugu zangu, kamwe usimcheke mtu kama bado hayajakukuta

Pole sana
Usije ukawaamini hawa wanawake was kizazi hiki.
 
I can feel your pain mkuu,, mimi hata nguvu ya kumeza mate nilikosa.

all in all.

Love too much, hope too much and trust too much .. hurt so much. even if love comes automatic ila ni vizuri tukijifunza kubalance shobo na mizani isiwe one side love. penda lakini iruhusu akili nayo ifanye kazi sio unakua zumbukuku huku ukiamini ndo mapenzi maana wanawake wenyewe wanapenda wanaume wakorofi.
 
Mkuu vile unajisikia nafahamu
Muda mwingine unawezza jiuliza sana na usipate majibu

Nliwahi mpenda mwanamke mmja hadi nkawa sijielewi mkuu
Wakati hua sina kazi nnaunga unga..... Kwakua mim ni fundi pesa yakitaa nlikua sikosi na nlikua npo nyumbani bado hvyo nkawa na mpa pesa ajisikie

Gafla!!!!!!! Jamaa mmja akaingilia kati(ni stori ndefu yakuandika uzi)) manzi akawa heleweki ukichek mwenyewe nmekoleeeeea hadi mwisho... Ase nlikua naona kitanda kigumu... No kula
Yaaani shida

Hope angetulia now angekua wife ila kwa aloyafanyA siamin mtu kwa sasa
 
Mkuu mim sahizi ata nione mdada mzuri vipi yani moyo haushtuki.... Ngoja nsake pesa nimiloki zangu BMW
I can feel your pain mkuu,, mimi hata nguvu ya kumeza mate nilikosa.

all in all.

Love too much, hope too much and trust too much .. hurt so much. even if love comes automatic ila ni vizuri tukijifunza kubalance shobo na mizani isiwe one side love. penda lakini iruhusu akili nayo ifanye kazi sio unakua zumbukuku huku ukiamini ndo mapenzi maana wanawake wenyewe wanapenda wanaume wakorofi.
 
Ukiwa na pesa una chagua aina ya mwanamke unayemtaka, incase nae akakuacha bado utachagua ukalilie wapi, ukalie london, france, china pia kama haitoshi utaamua ukafie wapi dubai au wapi,. japo watu wanasema pesa ainunui furaha lakini pesa ndio kila kitu.

Pesa hainunui furaha kwa kweli, ila inakupa uwezo wa kurefresh tuu
 
Back
Top Bottom