Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
- Thread starter
- #201
Pole sana Mkuu, songa mbele umpendaye,akupendaye yupo tu, utampata.
Nimeamua kusonga mbele tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Mkuu, songa mbele umpendaye,akupendaye yupo tu, utampata.
Usikate tamaa amini atakuja wa kukupa furaha na utaona kwanini alichelewa kuja.Pole nakuelewa. Binafsi nimekata tamaa na kila kitu
It's too late..sio mapenzi tu, maisha kwa ujumla hayanipendiUsikate tamaa amini atakuja wa kukupa furaha na utaona kwanini alichelewa kuja.
Hauko peke yakoIt's too late..sio mapenzi tu, maisha kwa ujumla hayanipendi
Dah nimestuck kwa kweli, mtu unakosa cha kufanyaHauko peke yako
Tupo wengi lakini bado hatukati tamaa tunaamini ipo siku hata hizi juhudi zetu zitatulipa tu.
Usiache kumwomba Mungu
Kingine jipe mdaDah nimestuck kwa kweli, mtu unakosa cha kufanya
Asante.Kingine jipe mda
Tuliza akili
Mwombe Mungu
I can feel your pain mkuu,, mimi hata nguvu ya kumeza mate nilikosa.
all in all.
Love too much, hope too much and trust too much .. hurt so much. even if love comes automatic ila ni vizuri tukijifunza kubalance shobo na mizani isiwe one side love. penda lakini iruhusu akili nayo ifanye kazi sio unakua zumbukuku huku ukiamini ndo mapenzi maana wanawake wenyewe wanapenda wanaume wakorofi.
Ni kweli kabisa mkuu, Money make the world goes round, money make the girl go down.Mkuu mim sahizi ata nione mdada mzuri vipi yani moyo haushtuki.... Ngoja nsake pesa nimiloki zangu BMW
Wanawake wapo tuNi kweli kabisa mkuu, Money make the world goes round, money make the girl go down.
Wanawake wapo tu
Pole nakuelewa. Binafsi nimekata tamaa na kila kitu
Hahaa ha huwa nawacheki watu wanaopenda
Ukiwa na pesa una chagua aina ya mwanamke unayemtaka, incase nae akakuacha bado utachagua ukalilie wapi, ukalie london, france, china pia kama haitoshi utaamua ukafie wapi dubai au wapi,. japo watu wanasema pesa ainunui furaha lakini pesa ndio kila kitu.
Ndio mkuu nimeumizwaPolee, Umeumizwa pia na wewe??