Mapenzi yanaumiza sana moyo, jitahidi unapopendwa pendeka na heshimu hisia za mwenzako

Sawa ila mi niko hapa kujifirahisha tu mume wangu ni mwanaume bora kuliko wanaume wote duniani siwezi kumsaliti.😁
Kuna mtu amekutaka mzini naye?
Uwe mwelewa, ulikuja kutafuta mume na nimejitokeza unasnza kuhorojokavooh mimi mke wa mtu.

Hadi hapo umetenda dhami ya uzinzibwa mawazo na uongo.

Hata mimi sitski uzinzi bali mke
 
Wacha makasiriko[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna post ulinichamba why nakuomba vocha nimekudharau Wewe huna pesa, wakati unazo za kushataa sababu ya jeuri yangu umehairisha na ukaniwekea pic ya dollar kunichoma roho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aiseee nilicheka balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Sasa tajiri ss hivi sikuombi vocha tena. Nakuomba mtaji kabisa sio kwa ile mi dollar [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Kuna mtu amekutaka mzini naye?
Uwe mwelewa, ulikuja kutafuta mume na nimejitokeza unasnza kuhorojokavooh mimi mke wa mtu.

Hadi hapo umetenda dhami ya uzinzibwa mawazo na uongo.

Hata mimi sitski uzinzi bali mke
Sawa mkuu.
Mungu akupatie haja ya moyo wako.
 
Bila kuifinyia cha mwisho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Just imagine jirani,,kale kabaridi ka asubuhi halafu mtu anakuachaπŸ˜‚πŸ€¦β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈ
 
Hahahha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119],, bora tulizoea mablanketi mapema hatuna stress [emoji23][emoji2960]

Wenzio tunatumia blanket chapa mtu [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Likikuacha unatafuta lingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…