Haya mambo yanaumiza sana nimegundua kwa nini usipotumia akili unaweza kuua au kujiua.
kuna binti nilimpenda sana,kuna siku alikuwa anahitaji ufafanuzi wa jambo fulani LA kiofisi nikamuunganisha na rafiki yangu ili ampe ufafanuzi.Badaye kuna siku tulikuwa wote kwa bahati mbaya nikashika simu yake nikaona wanawasiliana mara kwa mara-nikamuuliza kulikoni,akakiri huwa wanawasiliana tu kujuliana hali-niliumia sana,ingawa aliahidi ataacha na jamaa nae akikiri watasitisha mazoea.
Kwa kuwa jamaa tuko Ofisi mmoja Leo,sijui in Mungu-kwa bahati nikashika simu ya jamaa yangu nikaona SMS za binti,kwa kweli nimejisikia vibaya san.Mawazo ya kufanya jambo baya yamenijia akilini ghafla.