Vibunda vyako vipo ukiwa tayari nipo paleee nakusubiri my wife[emoji849][emoji849][emoji849]Kuna post ulinichamba why nakuomba vocha nimekudharau Wewe huna pesa, wakati unazo za kushataa sababu ya jeuri yangu umehairisha na ukaniwekea pic ya dollar kunichoma roho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseee nilicheka balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Sasa tajiri ss hivi sikuombi vocha tena. Nakuomba mtaji kabisa sio kwa ile mi dollar [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
sasa mbegu si anazo na hela za kuhudumia pia, mtu mzima akishaamua jambo lake atalitekeleza tu.Yes unajishaua kumbe bwana amezaa njee au mnaishi nyumba yakupanga bwana amemjengea kimada nyumba nakamnunulia gari nyie hamuaminiki
Vibunda vyako vipo ukiwa tayari nipo paleee nakusubiri my wife[emoji849][emoji849][emoji849]
Anaowataka ni wale wanaowaza mabillioni sio maelfu na hawamtaki sasa ndio ukweli anajikombaje hadi ameotwa kiparaa ,wananunuliwa marange yeye anatembelea IST wapi na wapi angewapenda saizi yake angeshaoa ila ni maisha yake[emoji6]
Na sisi mnatutesa vivyohivyo....hivyo ni πBora uumwe ugonjwa wowote maana ukipata dawa utapata relief au kupona kabisa kuliko kuumwa ugonjwa wa akili unaotokana na kuumizwa kimapenzi haswa kwa mtu uliyemuamini na kumkabidhi moyo wako na kuonesha mapenzi Yako ya dhati kwake.
Wasababishi wakuu wa hili tatizo kwa asilimia kubwa ni wanawake kutokana na tamaa zao wanawaacha wapenzi wao kisa tu hali ya kimaisha na kwenda kwa vibosile, inaumiza sana asikwambie mtu na kama huja experience basi bado hujakua au bado hujapenda.
Sasa ubaya wa hili tatizo unafanya wanaume wengi kuwa waongo waongo, kuwa walevi na kuwa wanunuzi wa "Mbususu" wachape zao wapite mbele.
Nyie wanawake dhambi ya usaliti itawatafuna mnapenda sana hela nyie kuliko mapenzi ya dhati.
Acha upuuz huo kata mawasiliano kimya kimya wala jamaaa usimwambie wala huyo mdada kuwa busy Na mambo yako hisia zisikupelekeshe ukijua kuna wanawake weng hupat shida naoHaya mambo yanaumiza sana nimegundua kwa nini usipotumia akili unaweza kuua au kujiua.
kuna binti nilimpenda sana,kuna siku alikuwa anahitaji ufafanuzi wa jambo fulani LA kiofisi nikamuunganisha na rafiki yangu ili ampe ufafanuzi.Badaye kuna siku tulikuwa wote kwa bahati mbaya nikashika simu yake nikaona wanawasiliana mara kwa mara-nikamuuliza kulikoni,akakiri huwa wanawasiliana tu kujuliana hali-niliumia sana,ingawa aliahidi ataacha na jamaa nae akikiri watasitisha mazoea.
Kwa kuwa jamaa tuko Ofisi mmoja Leo,sijui in Mungu-kwa bahati nikashika simu ya jamaa yangu nikaona SMS za binti,kwa kweli nimejisikia vibaya san.Mawazo ya kufanya jambo baya yamenijia akilini ghafla.
Syo weekend tu,yaani ni mwanzoni kabisa mwa mwezi hapo ukute mshahara wote umeisha.kiufupi furaha utaiskia tuπ π πKuachwa af weekend inauma nyieπ
Unakosa hata wa kukufariji πSyo weekend tu,yaani ni mwanzoni kabisa mwa mwezi hapo ukute mshahara wote umeisha.kiufupi furaha utaiskia tuπ π π
π³π³π³π³ usikufuru kisa mbususu ,kuumwa ni hatari sana ,kuumizwa kisa mapenzi ni kujiendekeza.Bora uumwe ugonjwa wowote maana ukipata dawa utapata relief au kupona