Ni kweli, kusamehe ni ngumu sana. Kuna wakati unaamini kua umesamehe mara ghafla maumivu/hasira vinarudi up ya.
Wengine kusamehe wanaona kama ni kuhalalisha ubaya uliotendewa lakini amini nakuambia, kusamehe kunamuweka mtu huru sana. Hilo la kua unaachana na mtu bila sababu ya msingi ni kwa ajili ya kutosamehe # Forgive and Let go#
Huwezi amini hii nimeshindwa kuifuta, na siwezi ku-icontrol. Naweza kuachana na mtu bila kuwa na tatizo lolote yaani.
Na muhusika hata sina tatizo naye, we are good in our own ways.