Mapenzi yanaumiza sana

Mapenzi yanaumiza sana

Mapenzi ni kitu cha kawaida sana, ila watu wanavyo yachukulia ndo tatizo lilipo.
Nwei ahsante kwa maono yako, miss moaah kipendhiiih.
Kwani wewe unaishi dunia gani kipenzi.

Miss you more
 
Hii principal ya kusamehe huwa iko tricky, binafsi nilisha accept situation, ila nimejikuta niko insensitive na issue za mapenzi.

Naweza kumwona mtu nikamwelewa, nikafanya harakati zote mpaka mahusiano yakawepo, ila nakuwa nayachukulia kama relationship ya kawaida, na muda wowote naachana na mtu halafu bila sababu ya msingi.
Wakati ukifika kilakitu kitakaa sawa Chief.

2015 ni mwaka ambao niliwashwa tukio zito sana.nilikuwa kama wewe aise.ila siku ngapi hizi naona inakuja inakata😄😄hatari sana
 
Back
Top Bottom