Mapenzi yanaumiza sana

Huwezi amini hii nimeshindwa kuifuta, na siwezi ku-icontrol. Naweza kuachana na mtu bila kuwa na tatizo lolote yaani.

Na muhusika hata sina tatizo naye, we are good in our own ways.
 
Huwezi amini hii nimeshindwa kuifuta, na siwezi ku-icontrol. Naweza kuachana na mtu bila kuwa na tatizo lolote yaani.

Na muhusika hata sina tatizo naye, we are good in our own ways.
Daaaaah!
Pole sana mkuu. Nakosa hata cha kusema. Nakuelewa, been there...
It was never easy ila namshukuru Mungu sana sana kwamba I finally (truly) forgave and let go.
 
Ghafla miguu yangu imeanza kufa ganzi.... Wewe Aboki rudi jamani dah! [emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…