Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wengi (wazuri wachache wapo) tuna roho mbaya mno
Habari ya muda huu natumai muwazima nyote. Moja kwa moja nisipoteze muda. Tukio la leo(jana) limenifanya nikakumbuka miaka michache iliyopita nilipoteza fahamu katika moja ya usafiri wa umma, kizunguzungu kikali sana kilinipata nikajikuta naanza kuyumba (kupepesuka)nilikuwa natafuta nafasi ya...www.jamiiforums.com
Wanawake wengi (wazuri wachache wapo) tuna roho mbaya mno
Nimeshaamka tayari mkuu
Hahaha......Yanaumiza kwa juu hapa karibu na mbavu..
Nimejaribu kutafakari kwa upana na maunga yake nikagundua yanaumiza mno.
Ohooo nilisahau kuwasalimu.Habari zenu.
Yupo.bwana yesu