Mapenzi yanaumiza sana

Mapenzi yanaumiza sana

Hii ni kweli kabisa aise..kuna mtu anaumia sasa hivi kwa ajili yako.

Jipe muda mambo yatakaa sawa

Majanga ya mapenzi ni experience ambayo haikosi cha kukufunza.

Binafsi nimeshaingia kwenye state of mind ya kwamba "if it is to break, it will break no matter what".

Kwa hiyo, huwa sibembelezi nikitishwa kuachwa, hata kama inaonekana kosa ni langu. Issue za kuomba msamaha pia naona zimekuwa ngumu.
 
Back
Top Bottom