Mapenzi yanaumiza sana

Mapenzi yanaumiza sana

nakuja...sijui mbona hutokei baba loo nakuja[emoji444][emoji444][emoji444]
Haya yasiwe matumaimi hewa,[emoji39][emoji39][emoji39] halafu yule crush wako tumekubaliana tumwambieje sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hutokei tena jamani.. niko hapa nje nakusubiri

Yule haambiwi kitu

analindwa kama lile yai lililotoka kutagwa sasa hivi.sitaki baya lolote limpate wala mbu yoyote amng’ate.
 
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom