BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 3,477
- 7,085
Ila hizo lips zako dah mungu nisaidie swaum isiharibike .
Kabisa aiseh [emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa aiseh [emoji1][emoji1]
😂😂😂😂Sasa nimekuelewa😊😊
Ninakaa kwa utulivu kabisa Eli.au nishindwe halafu nikwambie!!😄😄
inategemeana unaichukuliaje,kama unaichukulia kam sembe inakufanya kuwa sembeHivi kubet si ndo aina nyingine ya madawa ya kulevya!!au mimi ndo sielewi
[emoji1][emoji1]sawa umeshinda kwa upande wakoHuwezi kunidanganya aise..huo ni ugonjwa mpya wa madawa ya kulevya
Bado hujashindwa? Ujuwe nasubiri hapa!!😂😂Cheka tu Eli hakuna namna..😄😄
Nimebakiza masaa machache sana ya kukwambia Mr Arsenal
Njoo kwangu utapata pumziko😂😂Nimeshashindwa mr Arsenal nakwambia😄😄
Haya yasiwe matumaimi hewa,[emoji39][emoji39][emoji39] halafu yule crush wako tumekubaliana tumwambieje sasa[emoji23][emoji23][emoji23]nakuja...sijui mbona hutokei baba loo nakuja[emoji444][emoji444][emoji444]
Mbona hutokei tena jamani.. niko hapa nje nakusubiriHaya yasiwe matumaimi hewa,[emoji39][emoji39][emoji39] halafu yule crush wako tumekubaliana tumwambieje sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂Mbona hutokei tena jamani.. niko hapa nje nakusubiri
Yule haambiwi kitu
analindwa kama lile yai lililotoka kutagwa sasa hivi.sitaki baya lolote limpate wala mbu yoyote amng’ate.
Nitasaga Tena debe ZimaPole sana aiseh...
Vipi unga wa lishe ukiisha utasaga mwingine au utaendelea na mapenzi