Mapenzi yaninatesa, ninayempenda anawasiliana na mimi akitaka yeye

Ulishajiuliza swali la kiuhalisia kama ana mchumba au wachumba akiwapima ili apate wa kuchagua au awatumie na kuwaacha solemba? Je wewe umejiridhishaje kuwa anakupenda au hata kukujali achia mbali kukupenda? Je ushawasilisha malalamiko yako kwake?
 
hapo kuna 2, huenda ni koloni la mtu au ashaumizwaga nyuma hivo hamwamini mtu tena, chakufanya mchunie kama atakimya mpotezee mazima bt kama atakutafuta jaribu kutafiti kiini cha tatizo ulifanyie kazi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usikubali kuumia peke yako we Bata jaribu kumfanyia tuvitu very touching si lazima viwe vikubwa no vidogo tu just do it kwa muda fulani,halafu Kama haendelei kuonyesha interesting sitisha kila kitu namaanisha mawasiliano,ukaribu n.k we tulia Kama huoni mwenyewe ataona Kuna pengo atavimiss hivyo ulivyokuwa unavifanya atakurudia.. Kama hatarudi ndugu tafuta mwengine.. hisia za mapenzi haziumagi muda wote Kuna muda jua tu zitaisha so jipe matumaini utapita hicho kipindi maisha yatasonga
 
Na akirudi amfanye awe mtumwa wake kimapenzi.
 
Jifunze kuishi bila yeye.
Maisha ni mafupi utakuja jutia mwisho wa siku kwa kushindwa kutengeneza furaha yako mwenyewe ukategemea upatiwe na mtu mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…