Mapenzi yaninatesa, ninayempenda anawasiliana na mimi akitaka yeye

Mapenzi yaninatesa, ninayempenda anawasiliana na mimi akitaka yeye

hayo sio mapenzi ni emotional torture epuka toxic people.
 
focus kweny kutafuta pesa mambo mengine yatajisettle yenyewe..
 
Kizazi cha sasa mnashida sana. Unaitaje hali hiyo ya kuteseka kuwa ni sehemu ya mapenzi na wakati si mapenzi hata kidogo na wala hicho unachopitia hakihusiani na mapenzi.

Na kutokana na hii wrong perception tunaona vibinti vinafanya upuuzi kuanzia umri wa kati ya 17 hadi 30 halafu baadae picha linabadilika wanapoanza kuona umri umeenda na attention ya wanaume inapungua wanaanza kusema mimi mwanaume yoyote tu mradi upendo wa kweli.

Kitu chochote kisichokuwa na element ya upendo na kujali si sehemu ya mapenzi. Ni kama kusema sumu ni sehemu ya chakula, unaitaje sumu ni chakula tu kwasababu watu muda mwingine huimeza?!

Vivyo hivyo katika mahusiano, ukishaona kuna elements za mtu kukutumia kwa masilahi binafsi, aidha kukufanyia mazoezi ya kuwajua wanaume wanareact vipi wakikataliwa maombi yao ya mapenzi au wakichezewa akili kwa mapozi yasiyo na mbele wala nyuma,etc then jua hapo hakuna element ya upendo so hakuna upendo ni michezo ya kipuuzi na utatakiwa kuondoka haraka na kuachana na upuuzi wa mtu mwingine.

Hivi ukigundua kitu ulichojiaminisha kuwa ni chakula kwenye sahani na kumbe si chakula bali ni sumu iliyotengenezwa mfano wa chakula, je utakula kwasababu nafsi yako imevutiwa nacho ama utakitupilia mbali kulinda afya yako?!

Sasa tumia akili zako za kuzaliwa sio hizi za kwenye tv na Tamthilia. Achana na hiyo ng'ombe iende ikawe na hao inaowapa attention, wewe nenda kaugulie maumivu ya kuruhusu akili yako kushikwa na upuuzi halafu baada ya hapo tuliza akili yako ujiandae na maisha mapya. Tafuta shughuli ya maana kwako ambayo itakuingizia kipato cha uhakika then anza kupambana kujenga maisha yako na usitoke katika hiyo reli ya safari ya maisha yako.

Tafuta kujijenga na kujiimarisha, achana na story za kutafuta wanawake kama mtu mwenye kiu anatafuta maji ya kunywa. Mwanaume unahitaji pesa kuishi, wanawake ni msaidizi sasa kama hawataki kuwa wasaidizi kwa hiyari wewe pambana kivyako achana na habari za kulazimisha watu kuappreaciate kitu wasichokiona.
 
Mnyamazie na wewe tena kama unaweza mblock kbs. Usiendekeze ngona na mapenzi utakuja kujuta na huu ulimwengu. Na unakaaje na mwanamke mmoja huo ni uzembe. Mchunie kabisa.
 
Hakupendi huyo. Ama huwa unamfanyia show offs akaamini kwamba una uwezo ila unamtema?

Sijui kama ni sawa ama lah ila katika maisha yangu sipendi kuishi kwa kutegemea kipato cha mwanaume. Sitaki kabisa dissappointments. Akinitunza na kunijali hewalaa. Nafurahi na kujiona nimethaminika. Akiwa hana naridhika na namhurumia pia na pale ninapo uwezo nasaidia. Akininyima pia hewalaaa. Siwezi mlazimisha. Aguswe mwenyewe anihudumie yeye kama yeye
 
mi kuna demu nilimwelewaga Sana ila akawa hanijibu text ,piga simu anapokea kwa kujiskia,(alinitesa Sana huyu ngamia)asa Kuna siku nmeshka cm yake nikakutana na picha zangu nying Sana nikashindwa kuelewa kabsa.

Yaan picha zangu anazo nying ila kwenye mawasiliano mi ndo namtafuta tu mpka nikahisi ananiona Kama alien [emoji3].

nikaamua Sasa na mimi kumchezea hisia zake.
*kila siku tuma sms
*Kila siku nampigia simu
*Kila siku namsifia sifia
*vizawad zawad vidogo vdogo
*WhatsApp nampost af nahide watazamaji namuacha yy tu[emoji3]


Baada ya kuona amejaaa amelainika Sana nikawa sijibu sms na calls zake kipind icho nimepata manz mwingine.

aiseee alikuw anajileta had geto analiaaa mpka najiuliza ni huyu huyu alinifanya mtoto wa mfalme.

aliniandikia text "nateseka Sana unavyokuw hujibu sms zangu najiona kama Sina thaman dunian.please naomba usinifanyie ivo tafadhali.(saiv amebak n wa kupasha kiporo ila Sina hisia nae Tena.)


USHAURI:MWANAMKE/MSICHANA YEYOTE YULE ANAUMIA SANA PALE UNAPOMKALIA KIMYA NA KUACHA KUMTAFUTA.PIGA KIMYA WEEK UONE KAMA HAJAKUTAFUTA,ASIPOKUTAFUTA IAMBIE AKILI YAKO KUWA UNAKAZ PIA YA KUTAFUTA MKWANJA.

Sasahivi ndo zangu,nikianzisha mahusiano na demu namkolozea kwa sms na calls speed 120 mpaka aseme huyu jamaa kapenda kufa.namlia timing ya kumgegeda nikimaliza baaaaaas.
"whaaaaat a sensational goal from kingkongtz and comeback has completed"

asipokutafuta basi jua haupo kwenye akili yake
 
Habarini wakuu

Nampenda mtoto mmoja hivi, she's not so beautiful ila ndo hivyo moyo umependa jamani ila ananinyanyasa mno kwakweli.

Hajibu text zangu mpaka pale anapojisikia, nampigia hapokei yaani yeye ananitafuta akipenda yeye.

Amekuwa akifanya mengi ya ajabu ila nikihoji anakuja juu naishia kuomba msamaha mimi.

Jamani nateketea, sijui niliingiaje huku.

Wakati wewe unalialia hapa Kuna mwamba anapelekewa bure bure. Tena jamaa akinuna huyo demu anakosa raha. [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] Acha ujinga wewe tafuta papuchi nyingine uchakate
 
Wakati wewe unalialia hapa Kuna mwamba anapelekewa bure bure. Tena jamaa akinuna huyo demu anakosa raha. [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] Acha ujinga wewe tafuta papuchi nyingine uchakate
Ukweli mchungu
 
Hayo mambo ndo yananitokea na mimi, nahisi tayari ana mtu mwingine ila tayari nimeshapata ujuzi wa kumTrack, nasubiri ajichanganye tu niipate simu yake nifanye yangu kisha nikijihakikishia ninachokiwaza mapenzi yataisha hapohapo hata kama nampenda sana.
Nipe mbinu ya ku Track mkuu
 
Mnyamazie na wewe tena kama unaweza mblock kbs. Usiendekeze ngona na mapenzi utakuja kujuta na huu ulimwengu. Na unakaaje na mwanamke mmoja huo ni uzembe. Mchunie kabisa.
Hana hela mkuu huyo nae kamsanukia jamaa hana hela amechomoa betri sasa jamaa analia! Wewe uliona wapi mwanaume mwenye Akili , hadhi na pesa akililia Mwanamke? Kama sio masikini Bill gate ni mf wamepeana Talaka na Belinda Maisha yanaendelea Bill gate ana wanawake Lundo
 
Mzee kila nkijaribu wapi, halafu ni kama ashajua kwamba nampenda ile kinoma yani ndo maana anafanya hivi,yani anajua kabisa anitafute asinitafute am very weak kwake lazima ntamsumbua wee ndo apokee niomgee naye,anajua kabisa siwezi lala bila kumwambia usiku mwema ila leo nakausha tuone,labda ntaanza kumsahau polepole.
Procedures
√marufuku kukarir namb ya cm
√delet namba
√delete call list(s)
√delete text

Easy to be silent
 
Back
Top Bottom