Stanboy
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 1,114
- 1,308
Achana naye,tafuta saizi yako..nyie ndo mnagongewaga baadaye mnaanza kulaumu..kunbe hukupendwa toka mwanzo ila ulihurumiwa tu🤣🤣Habarini wakuu
Nampenda mtoto mmoja hivi, she's not so beautiful ila ndo hivyo moyo umependa jamani ila ananinyanyasa mno kwakweli.
Hajibu text zangu mpka pale anapojiskia, nampigia hapokei yani yeye ananitafuta akipenda yeye.
Amekuwa akifanya mengi ya ajabu ila nikihoji anakuja juu naishia kuomba msamaha mimi.
Jamani nateketea, sijui niliingiaje huku