Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Ilishawah kutaka kuntokea kama ww nikagundua stress zinakuja kama ukiwa huna kitu cha kukeep bize cha kushauri jaribu kujichanganya kwa watu kama hauna kazi. Kama ni swala la ngono piga ata selfie furaha Zaid utapata Kwny smartphone yako somasoma comment Kwny akaunt za mastaa utafurah tu. KUBWA LAO FANYA UTAFUTE PESA MJOMBA UNA HALI MBAYA yawezekana.