Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
ulipokosea uliruhusu mechi ianze akiwa na goli mbili mkononi
Akilielewa hili, basi anatibika maradhi yake 🙂 Ndiyo maana nasikia Yanga FC wamegomea mechi kabisaaaaaaa jana 🙂 🙂 🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulipokosea uliruhusu mechi ianze akiwa na goli mbili mkononi
Lile zee lina mademu kibao ni jin lileBill gates
Tafuta helaEbu nishauri naponaje,nataka kutoka humu mazima nsirudiko tena
MmmhHii ndo formula asee[emoji848]
Ndo maana simpendi mtu yeyote, najipenda mimi
Mapenzi ni vitu vya kuachana navyo kabisaHayo mambo ndo yananitokea na mimi, nahisi tayari ana mtu mwingine ila tayari nimeshapata ujuzi wa kumTrack, nasubiri ajichanganye tu niipate simu yake nifanye yangu kisha nikijihakikishia ninachokiwaza mapenzi yataisha hapohapo hata kama nampenda sana.
Nsaidie kulielewa nahitaji msaada kwa kweli, nataka kutoka hili shimo kwakweli
Be blessed kaka1. Huwezi kuteswa na mtu yeyote, vyovyote vile, kama hujamruhusu wewe mwenyewe akilini mwako kwa hiari afanye hivyo.
2. Angalia zaidi malengo yako; husiana na watu (even if siyo mambo ya mahusiano & mahaba) ambao wanaibua, wanakuza, wanashamirisha na kuendeleza malengo yako kwenda kwenye mafanikio yako. Otherwise, waondoe kama weeds shambani, wale wasiosaidia katika hili. Kuna angalizo hapa --- nahifadhi kwa ajili ya muda & space.
3. Jifunze kuwa na will power na decision making ability plus consistency. Hizi tatu ambazo ni ^sine qua non^ katika ufanisi wa field yoyote maishani hujengwa kwa kukuza maarifa na experience yako ya mambo. Just imagine where you want to go (your ultimate destination), and you will be forced to look for the RIGHT means of transport to get you there.
4. Kumbuka moyo ni soooo tender, sooo delicate na sooo sensitive when it comes to relationship. Learn to insulate your tender heart from unwanted attacks. Mashambulizi yakiwa ya mara kwa mara hivi, in the end utaishia kwenye rejection of almost anything, hata kama ni kizuri na kinakufaa kiasi gani.
5. Never ever forget GOD. Ukimtanguliza Mola, akili yako inakuwa timamu, wala mambo mengine hayakusumbui tena.
Kwa kauli yako hiyo umekubali kuwa pesa sio solution,Hata maskini wanaachana kila jua lichomozapo.
Kuna mtu aliandika kuhusu mwanamke kukukamata kutumia kisaikolojia akakutawala, mkuu ushapatikanaHabarini Wakuu
Nampenda mtoto mmoja hivi, she's not so beautiful ila ndo hivyo moyo umependa jamani ila ananinyanyasa mno kwakweli.
Hajibu text zangu mpka pale anapojiskia, nampigia hapokei yani yeye ananitafuta akipenda yeye.
Amekuwa akifanya mengi ya ajabu ila nikihoji anakuja juu naishia kuomba msamaha mimi.
Jamani nateketea, sijui niliingiaje huku!
Narudia Tena jikite zaid kwenye kutafuta pesa mapenzi yatakuja yenyewe.Kwa kauli yako hiyo umekubali kuwa pesa sio solution,
Habarini Wakuu
Nampenda mtoto mmoja hivi, she's not so beautiful ila ndo hivyo moyo umependa jamani ila ananinyanyasa mno kwakweli.
Hajibu text zangu mpka pale anapojiskia, nampigia hapokei yani yeye ananitafuta akipenda yeye.
Amekuwa akifanya mengi ya ajabu ila nikihoji anakuja juu naishia kuomba msamaha mimi.
Jamani nateketea, sijui niliingiaje huku!
Shukran sana be blessed [emoji120]Mkuu inawezekana demu pia anakupenda ila anakufanyia maringo kwasababu ameshajua unampenda. Akili zao huwa zinashangaza sometimes. Nakushauri uache mawasiliano nae huyo demu, yaani kaa kimya kabisa, ukikaa kimya itamuuma kwasababu mademu wanapenda attention. Kama anakupenda atakutafuta tu hata kama ni baada ya miezi kadhaa.
Pia muombe Mungu akupe utulivu wa akili kipindi hiki ili usitetereke kwenye mambo yako mengine ya kimaisha. Hata hasipokutafuta tena, utavuka salama tu kipindi hiki unachopitia, ni swala la muda tu.