Mapenzi yaninatesa, ninayempenda anawasiliana na mimi akitaka yeye

Habarini Wakuu

Nampenda mtoto mmoja hivi, she's not so beautiful ila ndo hivyo moyo umependa jamani ila ananinyanyasa mno kwakweli.

Hajibu text zangu mpka pale anapojiskia, nampigia hapokei yani yeye ananitafuta akipenda yeye.

Amekuwa akifanya mengi ya ajabu ila nikihoji anakuja juu naishia kuomba msamaha mimi.

Jamani nateketea, sijui niliingiaje huku!
Ndio mara yako ya kwanza kupenda

Wenzio tulipenda mara moja tu
 
Mapenzi ni matamu sana. I can tell. Ila kuna time yanakupeleka mputaaa balaa[emoji23][emoji23]
Ila mapenzi si mabaya. Ni matamu sana. Sana sana sana. Ni sisi wanadamu. Binafsi sipendi kumtesa partner wangu. Heshima ndo kila kitu. Huyo mpenzi wako mpe space atakukumbuka tu. Uzuri haya mapenzi unamuacha wako ahangaike hukoo weee akichoka akishapigwa matukio ndo anarudi. Uzuri ama ubaya asijekukuta umeshamove on tu hapo no ataimba apeche alolo[emoji23][emoji23]
 
Shtuka na acha kulia lia kwake kwa kuwa tayari ukweli ameshaujua kuwa unampenda sana. Ukiendelea na mwenendo huo atakuendesha mpaka ukome na kumuacha itakuwa ngumu. Hawa viumbe hawapendi wanaume wa kulia lia, be rude kiasi then fanya mambo yako ukijishusha sana kwake anakuona fala na ataona hustahili kuwa mwanaume wake.
Inaonesha kwenye mahusiano bado ujaiva ndio mgeni au nakosea?

Mim kuna mmoja nilikua nadate nae anachowaza yeye ni ndoa tu na kulazimisha mambo nikamuelekeza mambo huwa yanafata taratibu, likawa ni kosa kumueleza hivyo akaja juu oh tuachane na usinijue/usinitafute kuanzia leo futa na namba zangu uwe na maisha mema nikacheka sana alafu nikamjibu poa kila la kheri nikakata simu.
[emoji16][emoji16] asubuhi kesho yake akanitafuta analia nmsamehe amekosea nkamwambia hajakosea kuusikiliza moyo wake na kufanya maamuzi sahihi ishi kwenye uliyoyasema jana nikakata simu. Hawa baadhi ukikubali akuendeshe anavyotaka yeye utaisoma namba atakugeuza msukule.
The naked truth [emoji1666][emoji1666][emoji1666] kunywa Pepsi big nakuja kulipa
 
Habarini Wakuu

Nampenda mtoto mmoja hivi, she's not so beautiful ila ndo hivyo moyo umependa jamani ila ananinyanyasa mno kwakweli.

Hajibu text zangu mpka pale anapojiskia, nampigia hapokei yani yeye ananitafuta akipenda yeye.

Amekuwa akifanya mengi ya ajabu ila nikihoji anakuja juu naishia kuomba msamaha mimi.

Jamani nateketea, sijui niliingiaje huku!
Ushakuwa bwege
 
Time heals everything !!! Nlivoweza kumpotezea ndonkaja gunduaa na miguu yake imepindia ndani mchaga yuleee
 
Mapenzi ni matamu sana. I can tell. Ila kuna time yanakupeleka mputaaa balaa[emoji23][emoji23]
Ila mapenzi si mabaya. Ni matamu sana. Sana sana sana. Ni sisi wanadamu. Binafsi sipendi kumtesa partner wangu. Heshima ndo kila kitu. Huyo mpenzi wako mpe space atakukumbuka tu. Uzuri haya mapenzi unamuacha wako ahangaike hukoo weee akichoka akishapigwa matukio ndo anarudi. Uzuri ama ubaya asijekukuta umeshamove on tu hapo no ataimba apeche alolo[emoji23][emoji23]
Kweli ngoja nkaushe[emoji23][emoji23]
 
Huna cha obsessive love disorder wala nini....ukweli ni kuwa huna hela

Ukiwa huna hela unakuwa penda penda

Sawa Mr.Loveboy?
Nakubali na hii comment jamaa anaonekana hana hela huyu na demu akishajua huna hela anakuringia maana anajua huna ujanja wa kuwa na wanawake wengine sababu pesa huna...

Tafuta hela uone adabu inarudi
 
Una umri gan mzeebaba??...
Nakushauri usitumie muda mwingi kwenye ishu za mapenzi....kuwa busy na mambo yako,tafuta fedha. Itakusaidia sana
 
Habarini Wakuu

Nampenda mtoto mmoja hivi, she's not so beautiful ila ndo hivyo moyo umependa jamani ila ananinyanyasa mno kwakweli.

Hajibu text zangu mpka pale anapojiskia, nampigia hapokei yani yeye ananitafuta akipenda yeye.

Amekuwa akifanya mengi ya ajabu ila nikihoji anakuja juu naishia kuomba msamaha mimi.

Jamani nateketea, sijui niliingiaje huku!

Mtu hakupendi ya nini ujilazimishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom