Sema kweli?Na kweli ukimwi upo nje nje saivi na magonjwa ya zinaa kibao ........
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bongo pekee ambapo mtu haamini mpaka ashugudie kwa macho yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari wanajamvi ,nimeona nivute kigoda niwashauri .Kwa sasa wengi mme invest kwenye kubanjuana na kulialia kisa mapenzi ,wengine mbaenda mbali mechi za ugenini mnacheza peku peku jalini afya kwanza ,๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ
Hatari mkuu.Na inajiremba kweli ,imeacha kuwa rafu kama zamani ukiiona utaishia sema Mashalaa๐คฃ๐คฃ๐คฃ,kumbe maisha yanaenda kulala forever