Mapenzi yapo pambania Afya

Mapenzi yapo pambania Afya

Dim Ray

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
320
Reaction score
249
Habari wanajamvi ,nimeona nivute kigoda niwashauri .Kwa sasa wengi mme invest kwenye kubanjuana na kulialia kisa mapenzi ,wengine mnaenda mbali mechi za ugenini mnacheza peku peku jalini afya kwanza ,🚶🚶🚶🚶🚶🚶
 
ngoja npatwe na ukimwi ndo ntaamini kuwa upo.
 
Habari wanajamvi ,nimeona nivute kigoda niwashauri .Kwa sasa wengi mme invest kwenye kubanjuana na kulialia kisa mapenzi ,wengine mbaenda mbali mechi za ugenini mnacheza peku peku jalini afya kwanza ,🚶🚶🚶🚶🚶🚶

Wale wa kula tunda kimasihara sidhani kama watakuwa wamekuelewa
 
Na hivi MABEBERU wanaenda kukata misaada ya ARV nyie endeleeni kujisifia kula Tunda kimasihara tu. 😂😂😂
 
Dah... HIV Ni msamiati mkubwa kwa Wana Chawaputa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Back
Top Bottom